Chadema kuwashughulikia Lema na kilewo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuwashughulikia Lema na kilewo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Red one, May 8, 2011.

  1. R

    Red one Member

    #1
    May 8, 2011
    Joined: Apr 22, 2011
    Messages: 99
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    WanaJF: kiukweli hili linakera sana kwa mh Godbless lema na katibu wa kanda ya dar es salaam mkuu Kilewo kuacha kuendelea na sangara na kurudia mbeya mjini na kuendelea kufanya mambo yao wenyewe wenyewe bila kutaka kushirikisha wenzao, ni siku nzima ya jana lema na kilewo hawajulikani walipo wakati walipo kuwa hapa mbeya walijifanya vinara wa kuongoza maandamano kwa sifa, sasa wao wako wapi? Sehemu walizopagiwa hawapo mpaka chama kimepeleka watu wasiyo fiti sehemu hizo! Tunaomba uwajibishwaji wa hawa mabwana maana hata kwenye kikao jana tuliambiwa wapo kwenye ratiba.
     
  2. L

    LAT JF-Expert Member

    #2
    May 8, 2011
    Joined: Nov 20, 2010
    Messages: 4,523
    Likes Received: 86
    Trophy Points: 0
    red one , tujuze hii habari unaitoa kama ni ulichogundua au ni shutuma....?
     
  3. R

    Red one Member

    #3
    May 8, 2011
    Joined: Apr 22, 2011
    Messages: 99
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    Kamanda hizi ni shutma kwani viongozi wengi wa wilaya za mkoa wa mbeya wanalalama kuhusu hawa mabwana kutoweka bila taarifa na wakati wamekuwa wakitangaza watakuwepo
     
  4. Quinine

    Quinine JF-Expert Member

    #4
    May 8, 2011
    Joined: Jul 26, 2010
    Messages: 10,846
    Likes Received: 11,965
    Trophy Points: 280
    Toa upupu wako watu wasio fit ni kina nani hao, toka lini wewe ukawa mratibu wa maandamano ya CDM, labda tuambie leo Nape na Rostam wako wapi tutakuelewa.
     
  5. L

    LAT JF-Expert Member

    #5
    May 8, 2011
    Joined: Nov 20, 2010
    Messages: 4,523
    Likes Received: 86
    Trophy Points: 0

    peleka shutuma hizi zilizochachuka kwenye vyombo husika vya chama .... humu jf tunaongelea burning issues zilizoshindikana katika nchi hii
     
  6. R

    Red one Member

    #6
    May 8, 2011
    Joined: Apr 22, 2011
    Messages: 99
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    Mkuu na dhani wewe siyo mwanambeya ungekuwapo mbeya au ungekuwa unakitakia amani chama hiki kinachoenda kuchukua dola usingekurupuka na kunijibu kwa kejeli kiasi hiki mungu akubariki sana
     
  7. n

    never JF-Expert Member

    #7
    May 8, 2011
    Joined: Apr 4, 2011
    Messages: 234
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 35
    mkuu unachonena hapa yaweza kuwa kweli au uongo kwakuwa hawa makanda siyo wendawazimu watoke kote huko walipo toka then waishie hapa mbeya bila kuwa na sababu za msingi katika haya, kunahaja kiongozi yeyote yule wa cdm aliyopo mbeya akatupa habari zaidi ilikukata mzizi wa maneno haya.
     
  8. Mnyamahodzo

    Mnyamahodzo JF-Expert Member

    #8
    May 8, 2011
    Joined: May 23, 2008
    Messages: 1,854
    Likes Received: 220
    Trophy Points: 160
    Mkuu mbona unafoka?

    Nilichumuelewa ni kuwa ktk hizi shughuli za kisiasa ni muhimu ktk kampeni husika akawepo mtu mwenye ushawishi mkubwa, anayekubalika na kadamnasi anayoiendea na anayeweza kukiuza/kukielezea vema chama ktk kadamnasi hiyo. Ndipo akikosekana atawekwa mtu mwingine. Sasa, huyu mbadala kama amepungua vigezo vya hapo juu tunasema kapwaya. Na watu badala ya kurudi na ushindi mnarudi vichwa chini.

    Then, kwa kusema waliwekwa watu wasio-fit yuko kama kilichotokea ni chini ya matarajio. Lema na Kilewo itabidi walaumiwe kwa kukiangusha chama.
     
  9. G

    Giddy Mangi JF-Expert Member

    #9
    May 8, 2011
    Joined: Feb 14, 2011
    Messages: 833
    Likes Received: 8
    Trophy Points: 0
    Wewe baba Mitchel unamatatizo sana.
     
Loading...