Hebu tuangalieni hili: OSAMA BIN LADEN v/s BALALI haiji?

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,216
WanaJF! Kifo cha huyo Gaidi haina tofauti na ile kifo (Kimvuli) ya yule Gavana (Mfu) yenye wasiwasi mpaka leo kwangu na kwa baadhi ya Ndg wengi wenye uchungu na nchi yao yenye kila sbb ya wa2 wao kutokuteseka lakini wanateswa na kikosa wanaofanana na huyu Gavana anayesadikiwa ameweka makazi kwenye nchi ya mataifa makubwa. Je? Hii ya Bin Laden haifanani na ya Balali hapa KWETU? Twendeni pamoja.
 
Hii mijitu mingine inataka tupigwe ban bila sababu yoyote: wewe umeambiwa osama kafa, rais wa marekani kafanya sherehe, ndugu zake waliouwawa ndani ya nyumba yake wameoneshwa, binti yake ameongea juu ya unyakuaji wa uhai wake, serikali ya pakistani imeongelea juu ya kifo chake, al kaeda wametoa tamko- sasa wewe unatuletea hadidhi zako za kufikirika humu janvini: huoni kama ni muhimu kuacha kutujazia upupu kwenye jukwaa?!. Ok, osama hajafa- mwambie atoe sauti kwenye TV yake ya aljaazira.
 
Excuse for that Gama!! Kuna baadhi ya mitandao ilinong'ona kuwa Bin Laden hawezi uwawa kiovyo vile wametangaziwa upupu2 na hebu 2rudishe kumbukumbu ye2 nyuma kuna thread iliripoti Mr Balali aonekana Sweden akipata maraha mahala wengine wakasema ktk wiki hiyo hiyo ya kwmb ameonekana Zenji uwanja wa ndege,hata ktk mtandao wa Fox kuna jamaa wanakataa kifo cha Laden! Je? Hizi Vifo viwili havifanani?
 
kwa teknolojia ilivyo majuu ni kwamba wanafahamu kuwa mambo ya uwongo hayana nafasi. kafa kweli.
 
Nonda! Je? Ya Balali unayo u2weke?
Atakapofariki itapatikana.
Nani alipata nafasi ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu?

Wewe unataka ....umesahau TZ wanavyotubambikizia kesi na vidhibiti na vielelezo na wanavyotutupa lupango kwa kesi za kisanii?
Kolimba walimfanya nini kwa kusema ukweli?
Kwa "maisha bora kwa kila mtanzania" tuliyonayo bora tuendelee kuishi kidogo.

Chukulia kuwa mwenendo wote wa kifo cha Balali na mazishi yake unaacha masuali mengi na bado haijathibitishwa kuwa amekufa.
Imesemwa kuwa amekufa..lakini haijathibitishwa kuwa amekufa bado.

Kuna siku google map itamnasa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom