UVCCM Kuanzisha Mapinduzi Forum (MF) sawa na JF?

Status
Not open for further replies.

Ng'wanza Madaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2008
2,268
333
Kwa kile ambacho CCM wanaamini kuwa JF inamilikiwa na CHADEMA na kuwa tishio kwa Chama tawala kama ambavyo Mwenyekiti msaidizi wa Chama Pius Msekwa alivyosema,na baada ya Hussein Bashe kukiri kuwa ataitumia Jamii Forum kukusanya maoni ya wananchi kuelekea kuifanya UVCCM irejeshe heshima yake na ku-appeal kwenye public.

Ameshauriwa kutoitumia JAMIIFORUM na badala yake amwage mamluki waweze kuizamisha JF kwenye tundu la choo i mean ifutwe ama member ambao ni mamluki watoe michango isiyoendana na hadhi ya Ma great thinkers.

Kwenye kikao cha siri kilichofanyika Bagamoyo wamekubaliana waanzishe forum yao na waendelee kumpa support MICHUZI.

More to follow.

Mkuu NM, waambie wajivue gamba kwanza kabla ya kuanzisha hiyo Mapinduzi Forum ambayo itapata wanachama wenye gamba tu na haitakuwa na umaarufu kama wa JF. Njemba hizi zinahaha ile mbaya kutafuta umaarufu wasiokuwa nao.
 
Hilo litakuwa wazo zuri kwa CCM. Na sisi tutajitolea kuwachangia wanachama wapya tukianza na Malaria Sugu.
 
Waanzishe! wako huru, ila kipofu hawezi kumwongoza kipofu mwenzake!
 
sasa wanataka kumpindua nani? kwanza wameshinda hat akufikiria jina nzuri linaloendana na wakati
puma sana hawa jamaa
 
Lazima tofauti ya polisi na jwtz iwepo sio wote tuwe sawa Ma great thinkers tutaendele kuitumikia imani yetu kuanzisha forum haina ubaya lakini je ideology ya mlengo wa kusho,kulia au wakati?
 
Kwa Michuzi siendi hata kwa dawa.

Acha akina Mzee Msekwa waende huku ili CCM ipate mvuto na kuonekana kama BIBI AU AJUZA anayezeeka vibaya kwa kurembua rembua macho kwa vijana Doti Komu ambao hata hatuna taimu naye.

Lakini bila hata kwenda mbali, Moderator wa leo tangu alfajiri ana nini na JF??? Je, alikua anasimamia mijadala kwa kutumia sheri zetu zile zile au HISIA ZAKE TU binafsi???

Je, anaona jinsi mijada karibu yote yaanza kukwama na badala yake watu kuelekeza nguvu tu kwenye Malalamiko kwake????

Kwa kile ambacho CCM wanaamini kuwa JF inamilikiwa na CHADEMA na kuwa tishio kwa Chama tawala kama ambavyo Mwenyekiti msaidizi wa Chama Pius Msekwa alivyosema,na baada ya Hussein Bashe kukiri kuwa ataitumia Jamii Forum kukusanya maoni ya wananchi kuelekea kuifanya UVCCM irejeshe heshima yake na ku-appeal kwenye public.

Ameshauriwa kutoitumia JAMIIFORUM na badala yake amwage mamluki waweze kuizamisha JF kwenye tundu la choo i mean ifutwe ama member ambao ni mamluki watoe michango isiyoendana na hadhi ya Ma great thinkers.

Kwenye kikao cha siri kilichofanyika Bagamoyo wamekubaliana waanzishe forum yao na waendelee kumpa support MICHUZI.

More to follow.

Kwa kile ambacho CCM wanaamini kuwa JF inamilikiwa na CHADEMA na kuwa tishio kwa Chama tawala kama ambavyo Mwenyekiti msaidizi wa Chama Pius Msekwa alivyosema,na baada ya Hussein Bashe kukiri kuwa ataitumia Jamii Forum kukusanya maoni ya wananchi kuelekea kuifanya UVCCM irejeshe heshima yake na ku-appeal kwenye public.

Ameshauriwa kutoitumia JAMIIFORUM na badala yake amwage mamluki waweze kuizamisha JF kwenye tundu la choo i mean ifutwe ama member ambao ni mamluki watoe michango isiyoendana na hadhi ya Ma great thinkers.

Kwenye kikao cha siri kilichofanyika Bagamoyo wamekubaliana waanzishe forum yao na waendelee kumpa support MICHUZI.

More to follow.

Hawa Wanaota ndoto za mchana kama huu ndio ushauri wa katibu Mwenezi!
 
Watakao kwenda huko si watoto zao na wasiosoma kama wao. Let them start even nyumba kwa nyumba, wanavyombo vingapi vya habari hapa Tanzania? ccm inatumia vyombo vya serikali na vyomba vya binafsi kuwadanganya wananchi na mpaka sasa kikwete kashindwa kuwadanganya wananchi. Kila kitu kina mwisho na hata mkifanya tulale na nyie nyumba moja, hakuna atakubali mnachokisema.
1. Daly news
2. TBC
3. ITV
4. Safari na mizinguko ya jk
5. hotuba za jk
6. Vipindi vya live radio

Yote Haya wananchi wameshafunga masikio na hawawataki, kitu gani kigumu kusikia?

"Ukiwa na kinyesi usoni unatakiwa uweze kukisikia kinanuka sio mpaka mwenzako akukumbushe, poleni maskini wakubwa nyie"
 
Kwa kile ambacho CCM wanaamini kuwa JF inamilikiwa na CHADEMA na kuwa tishio kwa Chama tawala kama ambavyo Mwenyekiti msaidizi wa Chama Pius Msekwa alivyosema,na baada ya Hussein Bashe kukiri kuwa ataitumia Jamii Forum kukusanya maoni ya wananchi kuelekea kuifanya UVCCM irejeshe heshima yake na ku-appeal kwenye public.

Ameshauriwa kutoitumia JAMIIFORUM na badala yake amwage mamluki waweze kuizamisha JF kwenye tundu la choo i mean ifutwe ama member ambao ni mamluki watoe michango isiyoendana na hadhi ya Ma great thinkers.

Kwenye kikao cha siri kilichofanyika Bagamoyo wamekubaliana waanzishe forum yao na waendelee kumpa support MICHUZI.

More to follow.

Kwanini wasiite magamba forum?
Yaani tayari hiyo forum yao imesha jivua gamba kabla haijaanzishwa.
 
Watakao kwenda huko si watoto zao na wasiosoma kama wao. Let them start even nyumba kwa nyumba, wanavyombo vingapi vya habari hapa Tanzania? ccm inatumia vyombo vya serikali na vyomba vya binafsi kuwadanganya wananchi na mpaka sasa kikwete kashindwa kuwadanganya wananchi. Kila kitu kina mwisho na hata mkifanya tulale na nyie nyumba moja, hakuna atakubali mnachokisema.
1. Daly news
2. TBC
3. ITV
4. Safari na mizinguko ya jk
5. hotuba za jk
6. Vipindi vya live radio

Yote Haya wananchi wameshafunga masikio na hawawataki, kitu gani kigumu kusikia?

"Ukiwa na kinyesi usoni unatakiwa uweze kukisikia kinanuka sio mpaka mwenzako akukumbushe, poleni maskini wakubwa nyie"

Wafungue tuingie huko tuwachalange mpaka watie akili, ndiyo itatupa mahali pa kuweka uozo wao wote na ndipo kifo chao kitakapoa anzia hapo labda wawe wanachuja thread.
 
wasithubutu manake wataifunga wenyewe.kila issue itaongelewa kwa kina.watakimbia jiji,lol!nna hamu nao kwa kweli
w
 
Lazima tofauti ya polisi na jwtz iwepo sio wote tuwe sawa Ma great thinkers tutaendele kuitumikia imani yetu kuanzisha forum haina ubaya lakini je ideology ya mlengo wa kusho,kulia au wakati?

Tuta waattack huko huko na kuweka uwozo wao mpaka forum yao waikimbie wenyewe na ninavyowajua CCM walivyo hawatakubali kukosolewa kwani wanapenda kusifiwa, tofauti na mawazo yao hiyo forum inaweza kuwa hatari zaidi kwao na kuwapindua kuliko kuwajenga, jambo ambalo hawajajua hawa magamba ni kwamba chama kimachafuka kiasi kila wanapokanyaga panakuwa pa chungu ikiwa Nape amekanyaga tu Jf akatoka mbio unategemea pale Mf atakuwa salama?
 
Another deadly move from CCM

Watu wangi wanaotumia mtandao kidogo wanakua wamepanuka kimawazo, Watu wa aina hii hawakubaliani na uozo wa CCM!
They have to look for ways to limit membership for interlectuals otherwise mods watabaki kuwa na kazi moja ya ku delete Posts zinazoikosoa CCM.

Hata mimi mwanaccm nitaweza kuanika uovu wa chama chetu. mpaka sasa sioni lolote la kuisifia CCM. ila nina mengi ya kuisifia CHADEMA japo mimi sio mwanachadema
 
mi nashauri wangeanzisha magamba forum na sio mapinduzi forum, kwa sababu kuna watu wengi sana wana magamba. Kwa hiyo magamba forum ndio mzuka zaidi.
 
Itakuwa kama gazeti lao, UVCCM la HOJA, ambalo halina habari yoyote ya maana zaidi ya kukashifu CDM na viongozi wake.
 
NItafurahi kuwa wa kwanza kujiunga

Mleta maada kama wataanzisha tu weka post hapa tena tukavamie na kule tena itakuwa poa sana kwani watajua mtazamo wa watz ni upi!
 
Itabidi wakapeleke Blackberry hadi vijijini, la sivyo vijana wasomi wakitinga kule itakuwa balaa. Watasema tena Chadema imewafuata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom