Msaada nugu wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada nugu wana JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by analysti, May 8, 2011.

 1. analysti

  analysti JF-Expert Member

  #1
  May 8, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 680
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Ninaomba wana JF, yeyote mwenye username na password ya Hinari anitumie tafadhali!!.Natanguliza shukurani
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  May 8, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Punguza haraka rekebisha title yako kwanza
   
 3. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #3
  May 8, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,848
  Likes Received: 380
  Trophy Points: 180
  Hinari ndio nini?torrent site au download premium account??halafu akishakutumia ufanyaje with it?na ukishafanya itakusaidia nini?na tatizo lako hasahasa ni nini??nugu ndio nini?na kama huyu ni member kwanini uombe password yake??kwanini usi-mp??kwaahiyo we unadhani hivi ni vitu vya kushare??kwanini usiwaulize mods??duh kijana...naona maswali mengi kuliko majibu hapa!!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,994
  Likes Received: 2,718
  Trophy Points: 280
  unataka kufanya nini na password ya watu?
   
 5. D

  Derimto JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Na hiki nacho ni cha kupost ili kupata password ya watu?
  Ama kweli kuna mamluki humu ndani
   
Loading...