Professor Geoffrey R. Mmari afariki Dunia.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,554
Reaction score
46,480
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Geoffrey Mmari, amefariki dunia leo, Oktoba 11, 2026, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Wakati wa uhai wake, Profesa Mmari aliwahi pia kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na TURDACO.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa kadri zitakavyopatikana.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu, Masaki, Mtaa wa Mzinga Way, jijini Dar es Salaam.
 
Attachments

  • 1791745678034.jpg
    1791745678034.jpg
    96.7 KB · Views: 2
Aliyewahi kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Geoffrey Mmari, amefariki dunia leo, Oktoba 11, 2026, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Wakati wa uhai wake, Profesa Mmari aliwahi pia kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na TURDACO.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa kadri zitakavyopatikana.

Msiba uko nyumbani kwa marehemu, Masaki, Mtaa wa Mzinga Way, jijini Dar es Salaam.
He was my client at my clinic
I never knew his elite academic back ground.. r.i.p
 
Tunamwimba Mungu wa huruma, amjalie pumziko jema la milele mtumishi wake ambaye amemtumainia siku zote za maisha yake Duniani.

Poleni sana wanafamilia.
 
Ukitafakari sana kuhusu kifo, utagundua kama tupo bandani kama kuku, ambapo mwenye banda anaamua kumchagua kuku yeyote na kumchinja.​
 
Back
Top Bottom