Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,071
- 852
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Mohamed Salem Ahmed Al Rashdi, Balozi Mteule wa Falme za Kiarabu (UAE) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
Soma Pia: Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden
Soma Pia: Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden