Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

* It was the shame we never had a gold reserves deposits By In2EastAfrica - Tue May 31, 11:25 pm Parliament’s Public Organisations Accounts Committee chairman Zitto Kabwe speaks during a...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zitto, Serikali na hasara ya BOT HIVI wenzetu BOT watalipwa bakshishi na maslahi yao kama kawaida pamoja na kulitia taifa hasara kutokana na kuachana na utaratibu unaoaminika kimataifa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana "JF",leo tunazindua Rasmi sherehe za kueleke Miaka 50 ya uhuru wetu.Ukiwa kama Mtanzania,umefaidika nini katika Uongozi wa Raisi wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh JK Kikwete.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UPEPO wa kuswekwa rumande jana nusura uwakumbe Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Willibrod Slaa na Aquelini Chuwa mkoani Arusha baada ya polisi kutaka kuwakamata...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wazee wa JF! Hivi Maajuzi vijana wa Tosamaganga Secondary Pande za Iringa Wamefanya maandamano ya Amani wakidai wanataka Haki zao.Chakushangaza walisindikizwa vizuri na Police mpaka umbali fulani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Polisi wameendelea kuingilia kazi za wanahabari pindi wanapo ripoti habari zinazo wagusa wao moja kwa moja na kuamua kuziba mdogo. Mwandishi Francis Godwin wa Iringa anashikiliwa na polisi Iringa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana JF naomba mnifahamishe kuhusu TBC hasa hasa TBC1 kwani nashindwa kufahamu kuwa hii televisheni ni ya taifa au ni ya CCM? Habari zinazohusu CCM zinapewa kipaumbele na zinachukua muda mrefu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo Rais Jakaya Kikwete ameonekana mwenye furaha zaidi na kusema wanaobeza utekelezaji wa Serikali kuwaletea Watanzania Maendeleo wana agenda zao za Siri na wana macho lakini hawataki kuona...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanamuziki machachari katika sekta ya Raga, Sean Kingston wa Jamaica, ambaye alipata ajali mbaya siku ya Jumapili, anaripotiwa kuwa anaendelea vizuri. Kingston alipata ajali hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, 31 May 2011 21:48 Tausi Ally na James Magai HATI ya kiapo ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, jana ilizua malumbano makali ya kisheria mahakamani na kusababisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
* How about TZ Gvt and what happened in Mara? By In2EastAfrica - Tue May 31, 11:22 pm East African Court of Justice at a past session Uganda and Kenya governments are likely to be arraigned...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amesema serikali itatumia vitambulisho vya taifa kubaini wanafunzi wa vyuo vikuu wanaostahili kupewa mikopo. Nahodha alisema wapo baadhi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau Habari ya saa 2 usiku imeonesha wana magamba wapo rukwa wakieleza nini maana ya kujivua gamba ila mimi binafsi nashindwa kuelewa? kwanini wasitembelee kama vile Iringa, Mbeya Kigoma...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku mbili sasa kumekuwa na taarifa za maandamano ya nchi nzima yanayoandaliwa na cha cha wananchi (cuf) kupinga ukikwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na jeshi la polisi ,nimeshaangaa kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wajameni..kuna jamaa yangu anasoma hapo chuo cha fweza IFM, kila siku ananiambia kuna kipindi saa 1 kamili asubuhi, hadi saa 3 usiku..hadi Jumamosi.... hadi Jumapili..Non - stop.... Mara lecturer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MSENEGALI Mwakalambile [38] mkazi wa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya, amejichukulia sheria mikononi kwa kumchoma kisu cha tumbo mkwe wake na kusababisha kumuacha utumbo wake ukiwa nje na kupeleka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
miezi 8 baada ya uchaguzi watawala wakiendelea kuhimiza amani na utulivu huku wakikosa uzalendo wa kuitumikia na kuliendeleza taifa letu. maliasisli,rasilimali na malighafi tulizojaliwa na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
SAN FRANCISCO (AFP) – AIDS nearly killed Lou Grosso three decades ago, but that didn't prepare him for the latest news from his doctor: he has heart disease. Like many older HIV carriers facing...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa za vyombo vya kimataifa kuwa kutakuwa na hali mbaya ya chakula duniana, wenzetu wenye uwezo/akili wameona cha kufanya ni kuekeza afrika, kama tulivyo sikia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…