Upepo wa maandamano wahamia tosamaganga sekondari! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Upepo wa maandamano wahamia tosamaganga sekondari!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MKWECHE, May 31, 2011.

 1. MKWECHE

  MKWECHE JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 299
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wazee wa JF!
  Hivi Maajuzi vijana wa Tosamaganga Secondary Pande za Iringa Wamefanya maandamano ya Amani wakidai wanataka Haki zao.Chakushangaza walisindikizwa vizuri na Police mpaka umbali fulani katika Barabara Kuu liendalo Mbeya to Zambia.Baada kutembea umbali fulani polisi walilipua Mabomu Kuwasha Machoni ili kuwasambaratisha Badala ya Kuwapa ulinzi madhubuti mpaka wafike wanapotaka kwenda kufikisha ujumbe na Madai yao!
  Jamani wataalamu wa Katiba na Sheria,Wanafunzi hawana haki ya kikatiba Kuandamana kwa Amani na Kulindwa na Ma-police?Na Je wangeachwa waende wanapotaka kwenda huku wakiwa na ulinzi wa polisi na baada ya kufika kule waendapo wakiwa sambamba na wakaachwa watoe ujumbe wao kwa viongozi husika wa kimkoa,kuna mbaya gani!Ikizingatiwa na kutiliwa maanani kwamba watoto wale wa shule hawakubeba silaha yoyote! Labda hata wangeachwa wakaseme madai yao si ndio yangejulikana na mamlaka husika na Majawabu yakapatikana na si kupiga Bomu la Machozi watoto!
  Haya Jamani ndio matunda ya miaka 50 ya uhuru!
   
 2. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Kibali chao cha maandamano kilikua kinasemaje?
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Tuache kupotosha hakluna kitukianchoitwa KIBALI,inayotakiwa ni Taarifa tu tena ya kuomba ulinzi, Thats all!
   
 4. Mkare_wenu

  Mkare_wenu JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 145
  Maskin wadogo zangu wa Tosa,wananikumbusha miaka minnne iliyopita 2lipokuwa na mgomo uliosababisha mwenze2 m1 kupoteza maisha.Czan kama madogo wamekurupuka naiman walikuwa na sabab za msingi coz naijua ile shule toka tupo sisi ilikuwa na mengi hasa 'kiutawala'.Pólice alwayz wana akili fupi,wenyewe wameshakariri kurusha mabom 2...
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  taarifa za kiinteligensia,
   
 6. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Sasa hivi maana ya maandamano kwa tafsiri ya Polisi wa Tz ni kutembea katika kundi la zaidi ya mtu mmoja. Na dawa yake ni kulipua mabomu bila kujali madhumuni ya matembezi yenyewe. Tz Police have become certified ****** commanded by big ****** under the guidance of political ******. Period.
   
 7. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  jk....
  :mod:
   
 8. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Mh!.. Una uhakika?? Au umekurupuka??
   
Loading...