Zitto, Serikali na hasara ya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zitto, Serikali na hasara ya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mbunge, Jun 1, 2011.

 1. M

  Mbunge Senior Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Zitto, Serikali na hasara ya
  BOT


  HIVI wenzetu BOT watalipwa
  bakshishi na maslahi yao kama
  kawaida pamoja na kulitia taifa
  hasara kutokana na kuachana
  na utaratibu unaoaminika
  kimataifa wa kuweka akiba ya
  fedha za kigeni kwa dhahabu ?
  Niliamini kwa kuwa taasisi hii
  imepata msomi tena wa
  uchumi na mambo ya fedha
  basi wangelikuwa wajanja zaidi
  na pengine kutafuta hata
  ushauri kwa wawekezaji
  wasiokwenda shule sana kama
  kina Soros ili kutuokoa
  masikini na hasara za kijinga.
  Lakini inavyoelekea kumbe
  kuna usomi wa vitabu na
  usomi au ujuzi wa kazi husika.
  Wenzetu BOT inaonekana
  wanatumia vitabu vya uchumi
  vya mwaka 1945 na wala sio
  akili ya kiuchumi katika dunia
  ambayo sio Marekani tena
  anayetamba kiuchumi !
  Kinachonishangaza ni kwa
  Gavana na washauri wake
  kushindwa angalau kutumia
  akili ya kutokuweka mayai yao
  yote kwenye kapu moja.
  Pengine nusu ingelikuwa
  kwenye dhahabu, na nusu
  iliyobakia ingelikuwa kwenye
  sarafu toka nchi mbalimbali
  ikiwemo Dola, Euro, Yen,
  Kronors, Renminbi na
  kadhalika! Jamaa hawa bwena
  wametuangusha na mwaka
  huu hizo bilioni zilizopotea
  zifidiwe kwa njia moja au
  nyingine ikiwemo kutokulipwa
  bakshishi wanaylipwa kila
  mwaka!

  mbunge,
  dar es salaam
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,907
  Trophy Points: 280
  wamepiga picha ,sijui walienda vacation gani
   
 3. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hivi hayo mamilioni ya pesa waliyo yatumia kupiga picha yalikuwa haya sehemu ya kuyapeleka,watu wanakufa kwa njaa,wao wanatumia mabilioni kwa kupiga picha

  kweli hii sijaielewa
   
 4. moblaze

  moblaze JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  chukua chako mapema.....
   
Loading...