Shule zetu zinatarajia kupata computer

Felixonfellix

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
1,672
182
shule.jpg


 
Kucheka nataka,

Kulia pia nataka.

Nabaki kinywa wazi (bahati nzuri ni usiku hakuna inzi!) Asante broo kwa kuwakumbusha wenye njozi zao za mchana.
 
Binafsi sioni kama ni tatizo kubwa sana kwa hayo madarasa. Tatzio halisi linaweza kuwa hata huko majumbani hawalali vizuri au hawana ,vitabu au walimu wenye sifa .

Mambo ya kuejgna madarasa ya matofali na yaliyoezewka vizuri inatakiwa kuwa priority ya mwisho. Unless ni shule iko ilala hapo sawa.

Tuelewe priority mahtaji na problem ya shule ya katelelo bukoba ni tofauti na yale ya shule ya bunge au mzimuni.
 
Back
Top Bottom