Kwanini CCM hawaendi kuwaeleza wanaojua mambo kuhusu kujivua gamba? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini CCM hawaendi kuwaeleza wanaojua mambo kuhusu kujivua gamba?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kakin, May 31, 2011.

 1. k

  kakin Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau

  Habari ya saa 2 usiku imeonesha wana magamba wapo rukwa wakieleza nini maana ya kujivua gamba ila mimi binafsi nashindwa kuelewa?

  kwanini wasitembelee kama vile Iringa, Mbeya Kigoma mwanza arusha kilimanjaro na ruvuma au hata vile bukoba na shinyanga?
   
 2. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unataka waende kuzomewa? Lakina hata huko Rukwa umeona mkutano wao ulikuwaje? Ulipata mapokezi ya wanafunzi na watoto au ?
   
 3. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nawasubiri waanze ziara za vyuo vikuu, yaani wakija mabibo hawatoki !
   
 4. Mbwiga_Plus

  Mbwiga_Plus Senior Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 163
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mTAJI wa magamba ni akili finyu za audience!
   
 5. k

  kakin Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na wewe mara 100
   
Loading...