Tanzania yenye utulivu bila amani miezi 8 baada ya uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania yenye utulivu bila amani miezi 8 baada ya uchaguzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by marijanda, May 30, 2011.

 1. m

  marijanda Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  miezi 8 baada ya uchaguzi watawala wakiendelea kuhimiza amani na utulivu huku wakikosa uzalendo wa kuitumikia na kuliendeleza taifa letu.

  maliasisli,rasilimali na malighafi tulizojaliwa na kuzizalisha sikisombwa na watawala kwenda nje ya nchi kwa migongo ya wawekezaji, miradi ya kufufufua uchumi,miardi ya dharura na pia tender kwa makampuni ya kigeni na yote haya kusababisha matrilioni ya shilingi kufisadiwa na wachache hasa watawala wetu wengi.
  wananchi ambao ndo wenye mali zote hizo wanapodai na kuzifuatilia kwa ukaribu wanapigwa risasi na kukamatwa na hata kupata mateso makali kwa kisingizio cha kuwa ni WAVUNJA AMANI NA PIA KUWA NI MAJAMBAZI !!!!!!!!!!!!! wakati watawala na wawekezji wakichukulia kupitia madirisha ya vioo kutoka nyumba ZAO yenye viyoyozi, je hii ni sawa????????????????????????

  watawala sasa wanajitahidi kuwajengea hofu wananchi ili hata wakiliwa wangali macho wasithubutu kuuliza a wakiona waseme hawajaona na wakisikia wasema hawajasikia na
  hata wakionja waseme hawajaonja siyo tu hivo bali pia wakihisi wasema hawajawahi kusikia

  J e tutafika?

  ndo maana tunasema tuna utulivu hatuna amani, hakuna amani bila haki na watz tumenyanganywa haki zetu na tunanyanyaswa na haki zetu

  tuamke na na tujitambue ili tuweze kujikomboa,

  kwa pamoja twaweza

  mungu ibariki tanzania
   
 2. k

  kakini Senior Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwani hujui Tanzania sisi sote ni mazombie????

  Haki za msingi tunazikosa tunafanywa kama wajinga
   
 3. The sage

  The sage Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata huo utulivu haupo. Huwezi kumyima mtu haki yake ukategemea awe mtulivu. Watanzania ni wavumilivu sana. Lakini kila kitu kina mwisho wake. Ipo siku, tena haipo mbali uvumilivu wetu utaisha na hapo itabidi kutumia msemo wa warumi "ukitaka amani, basi andaa vita"
   
 4. Mbaneingoma Zom

  Mbaneingoma Zom JF-Expert Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu Marijanda, unachokisema ni cha kweli kabisa na ni kitu kinachotusikitisha sana. ila kwa sababu hawa manyang'au wanaotufanyia udhalimu huu wana pesa wametununua wengi wetu ili tusidai hiyo haki!! lakini mimi naamini tutakapofika mahali pa kutambua uwezo tulionao hapo ndipo mabadiliko ya kweli yatatokea kwani nguvu yetu itakuwa kubwa kuwazidi, na silaha zao zitakuwa chache kuliko zetu!!! Tukielimishana mmoja kwa mwingine juu ya haki zetu ndani ya siku chache tu tutajikuta tumesha elimisha umma mzima wa watanzania hapo tunaweza kuleta mabadiliko. lakini bila hivyo hiki kitakuwa ni kilio cha kudumu.
   
 5. G

  Galula Jr Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaka amani kwenye njaa na lindi la umasikini, hata utulivu wenyewe ziro
   
Loading...