Polisi Iringa wamshikilia mwandishi wa habari

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,787
2,078
Polisi wameendelea kuingilia kazi za wanahabari pindi wanapo ripoti habari zinazo wagusa wao moja kwa moja na kuamua kuziba mdogo. Mwandishi Francis Godwin wa Iringa anashikiliwa na polisi Iringa kwa kuripoti maandamano ya wanafunzi Iringa.
Bonyeza hapa Francis Godwin ni mzee wa matukio daima
 
Dah ndo taabu ya kuajiri polisi STD 7 umeona sasa uelewa mdogo kabisa
 
Pole sana ndugu!
Ndiyo gharama ya kuifahamisha jamii matukio...lakini hii isikutikise hata kwa nukta!

IMG_9567.JPG
 
Maggid Mjengwa mbona kimya wakati wewe upo Iringa? Hebu tujuze tuone kama watakukamata
 
Back
Top Bottom