* CCM LIFESTYLE... RUSHWA!!
Na Steven Augustino, Tunduru
DIWANI wa Viti Maalumu wa Tarafa ya mlingoti Wilayani Tunduru kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Atingala Mohamed amehukumiwa...
Ninakunjua jamvi waungwana msogee,tusaidiane kutafakari hili linalo niumiza kichwa,ya mwlm NYERERE nimengi yakujivunia kwa wenye uelewa nawalio shuhudia,hakuna awezaye kuishi chini ya jua asitende...
Tanzania has one of the lowest GDP per capita in the world.
The nation has many natural resources including natural gas, gold, diamonds, coal, iron ore, uranium, nickel, chrome, tin, platinum...
Mahakama ya Tunisia imemtupa jela aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Zine al- Abidine Ben Ali.
Adhabu hii hataitumikia peke yake kwani mahakama hiyo ilionelea haitakuwa vibaya akiambatana na...
Great Thinkers,
Habari zenu na ni matumaini mu wazima wa afya na wale wanaumwa ni mategemeo yangu watajaaliwa afya na siha njema na Mwenyezimungu.
Tangu kukamatwa kwa viongozi wa chama kikuu cha...
Wandugu naomba mwongozo, hii biashara ya kulipa kodi mwaka mzima au nusu ilianzaje?
Mbona kazini hatulipwi mishahara ya mwaka...
Mwenye nyumba anataka kodi ya mwaka, mwenye frame ya biashara...
Kufuatia mwandishi Joseph Mullinda kutafutiwa kazi kama mhariri wa gazeti la Dira huku akitumwa kumshambulia Edward Lowassa na kundi hasimu na lile la Lowassa na kudaiwa kulipwa mapesa mengi kwa...
Watoto wa shule hawana viatu,madawati,huku mtoto mwingine anauza mahindi shule m-huuuuu.tutakuwa na kizazi gani hapo baadaye kama elimu itakuwa ya kubahatisha hivi?mwakilishi yeye anauchapa...
NASEMA OLE OLE KWANGU NA NCHI YANGU Sina hakika kama kweli ,mimi ndimi kiongozi hasa mchaguliwa wa Wawadanganyika,kama ndiye basi ole wangu na kama siye basi ole wangu zaidi maana yawezekana...
Wandugu,
Miaka ya nyuma baada ya uchaguzi kuisha na waheshimiwa walioshinda uchaguzi kutawazwa rasmi na sherehe zote kumalizika tulikuwa na mapumziko ya kiaina kati ya watendaji wa serikali na...
Na Mwandishi Wetu
Mchungaji wa Kanisa la Full Salvation, Christopher Mtikilla ameifungukia kauli ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa, baadhi ya viongozi wa dini nchini wanajihusisha na biashara...
kwa kuwa kuna nyerere day?
kwani nani aliyetangulia kufa kati ya nyrere na karume?
kwani mwanzo hawakuona kama kuna umuhimu wa kuwa na karume day?
kama nyerere hangekufa kungekuwa na karuma...
Nimegundua watanzania ni wa janja sana. Baada ya kushuhudia makanisa ya maombezi yanachuma pesa kama mchezo vile tena bila kulipa kodi wameamua nao kutoka kindoto. Ubunifu mkubwa uliopo ni...
Nimeangalia kipindi cha Kipima joto cha ITV na mwisho wa kipindi hiki nilipata ujumbe uliokusudiwa na mtayarishaji Bwana Masako.
Mada ya kipindi hicho ilikuwa mchakato wa sheria ya urithi...
habari toka Ngara: Historia ya Mgogoro kati ya Wilaya ya Ngara kati ya Wakulima na Wafugaji(Wanyarwanda)
Watanzania wanapokuwa watumwa katika nchi yao .
Mnamo mwaka 2008 Wilaya ya Ngara...
Siku zote watanzania tumekuwa tukiwaheshimu sana waasisi wa taifa hili Marehemu Mwalimu Nyerere, Marehemu Rashidi Kawawa na Marehemu Karume kuwa walikuwa viongozi waadilifu ambapo katika uongozi...
Awali ya yote niwapeni pole ndugu jamaa na marafiki pamoja na wana CCM kwa kuondokewa na kada wao mkongwe ndugu Costantine Mushi aliyefariki jana baada ya kugongwa na gari.mzee wetu huyu atazikwa...
Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na...
Guys, I found thi sinteresing to read....
201120 June: A Tupolev Tu-134 operated by RusAir, a private Russian airline, crashes on the approach to Petrozavodsk airport in the northern republic of...
Hiv huyu makamu wetu wa rais yuko wapi..maana ni muda mrefu sijamsikia ktk line za wtz..na wacwac hata kuna maeneo ya nch hii hajawah kanyaga kabisa tangu ashke nyazifa hiyo..hv kaz yake hasa ni...