Edward Lowassa kulishtaki gazeti la Dira la Alex Msama | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Edward Lowassa kulishtaki gazeti la Dira la Alex Msama

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kiwalanikwagude, Jun 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. k

  kiwalanikwagude Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kufuatia mwandishi Joseph Mullinda kutafutiwa kazi kama mhariri wa gazeti la Dira huku akitumwa kumshambulia Edward Lowassa na kundi hasimu na lile la Lowassa na kudaiwa kulipwa mapesa mengi kwa kazi hiyo haramu sasa pesa hizo zinaelekea kumtokea puani Alex Msama na gazeti lake kufuatia toleo la jana jumatatu ambapo gazeti hilo lilinadaiwa na kichwa cha habari.

  Kazi ya kumnadi Lowassa imeanza, kampeni sasa ni nchi nzima, jina la Nyerere latumika kumsafisha, mwenyewe apunguza kilevi kujiweka fiti...kufuatia habari hiyo ya kizushi inadaiwa kuwa Lowassa amefikia uamuzi wa kulishtaki gazeti hilo kwa madai kuwa yeye siyo mlevi hivyo wanapodai amepunguza kilevi ni matusi kwake yeye na familia yake na pia tabia ya gazeti hilo kutaka kujikosha kwa jina la lowassa lakini zaidi Lowassa anahoji upuuzi huo utaendelea mpaka lini?

  Lowassa ameonekana kukerwa sana na gazeti hilo linaloibuka na uzushi kisha kuupamba na vichwa vikubwa huku mwandishi akiwa hafahamiki badala yake ni kama vile...NA MWANDISHI WETU...mpaka naenda mtamboni hivi punde nimetoka kuzungumza na timu ya mawakili wa Lowassa ambao wanaendelea na zoezi hilo la kujiandaa kudai fidia kutoka kwa gazeti la Dira.
   
 2. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Na mtatumwa sana humu JF na lowassa. pole.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Akitoka hapo alishitaki na gazeti la Uhuru
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,116
  Likes Received: 6,598
  Trophy Points: 280
  Alienda kusafisha nyota nigeria, lakini bado jina la lowasa halikubaliki, labda arudi tena akajisafishe upya.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mbona issue ni ndogo sana kwanini asianze na Mwanahalisi...
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...