Tanzania itajengwa na wenye moyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania itajengwa na wenye moyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAKA A TAIFA, Jun 21, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Watoto wa shule hawana viatu,madawati,huku mtoto mwingine anauza mahindi shule m-huuuuu.tutakuwa na kizazi gani hapo baadaye kama elimu itakuwa ya kubahatisha hivi?mwakilishi yeye anauchapa usingizi jimboni wanatarajia nini?wananchi waweza kuchangia madawati kama kutakuwa na uongozi bora unahamasisha maendeleo ya wananchi.rasilimali zitumike vizuri pia inatoa hamasa na kuamini viongozi wao
   

  Attached Files:

 2. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  nilikuwa nakula hii picha imenipa kichefuchefu na hasira.. hapo mtu mzima amekwisha dondoka signature achukuwe posho.. akitoka hapo ndani ya VX full kiyoyozi hadi hotelini napoishi na family yake.. #^%*&^(*^(^%(*( ake
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  ha ha ha - jamaa baada ya kikao atapata ile POSHO?
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,130
  Likes Received: 6,615
  Trophy Points: 280
  Naomba mwenye jina lake ili nimtumie salamu za e.kibonde.
   
Loading...