Kada maarufu wa chama cha mapinduzi jimboni hai afariki dunia.

Jun 14, 2011
58
18
Awali ya yote niwapeni pole ndugu jamaa na marafiki pamoja na wana CCM kwa kuondokewa na kada wao mkongwe ndugu Costantine Mushi aliyefariki jana baada ya kugongwa na gari.mzee wetu huyu atazikwa kijiji cha Shiri Njoro siku ya Alhamisi. aliwahi kutumikia CCM kwa muda mrefu kama katibu wa tawi na mpaka kifo chake alikuwa katibu wa tawi la shiri njoro. habari hizi zimethibitishwa na kada maarufu waCHADEMA wakati akiwa kwenye harakati za kuhamasisha watu wachangie mchango wa kununua jeneza ambapo kada huyu kijana wa chadema aliyewahi kugombea udiwani ambae pia ni katibu wa mbunge jimbo la hai amefanikisha zoezi hili kwa asilimia mia moja huku alipoulizwa umetoka wapi kukusanya Michango ya mtu wa CCm alijibu kwa kifupii Kwenye siasa hakunaadui wa kudumu na hili ni jambo lakijamii zaidi sii la kisiasa.
 
Honestly, hii habari haina sifa ya kuingia humu kama thread ya siasa. Nadhani huyu aliyeianzisha alitaka atueleze hicho kisa cah hutu kada wa Chadema. There is nothing to write home about!
 
Honestly, hii habari haina sifa ya kuingia humu kama thread ya siasa. Nadhani huyu aliyeianzisha alitaka atueleze hicho kisa cah hutu kada wa Chadema. There is nothing to write home about!

Huyu hajui anafanya nini hapa! Kila kada wa Chama akifariki tukichapisha hapa si itakuwa balaa?? Huyo kada wa CCM aliyekufa anachangia nini naendeleo ya nchi?

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 14th June 2011
Posts : 4
Thanks 0
 
Back
Top Bottom