Wachina watoa kichapo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachina watoa kichapo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiluvya2011, Jun 20, 2011.

 1. K

  Kiluvya2011 JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wachina wa kampuni ya chiko wavamia kituo cha polisi babati na kutoa kichapo kwa polisi, ktk taflan hiyo wafanyakazi watatu wa kampuni ya wachina wapo hoi kwa majeraha...kisa gali lao kugongwa na basi na kukata site mirror...source radio one breaking news
   
 2. LOOOK

  LOOOK JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,392
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Huja tuweka waz mkuu kukatika kwa site mirror na police kuchapika kuna link gan hapo?sijakupata mkuu Na hilo basi ni la polilisi au vp? Fafanua mkuu
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Wangewaua tu hao umbwa wa kikwete!
  Mchina haombwi rushwa wala kupindishiwa sheria!

  Hebu tujuze police wangapi wameng'olewa meno?
   
 4. F

  FUSO JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,876
  Likes Received: 2,342
  Trophy Points: 280
  Tatizo mchina hatoi rushwa hata thumni - patamu hapo
   
Loading...