TUTAFAKARI MIAKA 50 YA UHURU au MIAKA 26 BAADA YA NYERERE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TUTAFAKARI MIAKA 50 YA UHURU au MIAKA 26 BAADA YA NYERERE?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Masanyaraz, Jun 21, 2011.

 1. M

  Masanyaraz Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninakunjua jamvi waungwana msogee,tusaidiane kutafakari hili linalo niumiza kichwa,ya mwlm NYERERE nimengi yakujivunia kwa wenye uelewa nawalio shuhudia,hakuna awezaye kuishi chini ya jua asitende dhambi'isipokua masihi wa mungu peke yake nina maanisha hata kama MWALIMU alifanya mazuri kadhalika na mabaya yamo.Kwa uelewa wangu wa miaka ya themanini vichache alivya tuachia MWALIMU NYERERE sina uhakika kama leo hii tunacho cha kujivunia kwamba kimeendelea kuwepo ama tumekiendeleza eg;RELI pamoja na magari moshi(treni),MELI Baharini na ktk ziwa,usafiri wa anga(NDEGE).Utaratibu wa kilimo pamoja na uendeshaji wa shughuli za kiserikali,sioni haja ya kujivunia miaka 50 ya uhuru wakati rasili mali vitu hatuna,zaidi yakua dampo la vitu vya kigeni na wageni ambao kwao walikotoka wameshindikana au wamekosa ajira,viwanda vilivyakua chini ya serikali vimekufa na vichache vilivya binafsishwa vimebadilishwa utendaji wake,ninayo mengi leo nimalize kwa kusema miaka 26 baada ya MWALIMU NYERERE hatuna jipya letu la kujivunia.
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Paragraph Muhimu ili "post" isomeke vizuri!
   
 3. M

  Masanyaraz Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekusoma baba enok,lakini hii nimeifupisha tu .
   
 4. M

  Masanyaraz Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja.
   
Loading...