Serikali ya CCM haitapumzika?

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,553
37,710
Wandugu,

Miaka ya nyuma baada ya uchaguzi kuisha na waheshimiwa walioshinda uchaguzi kutawazwa rasmi na sherehe zote kumalizika tulikuwa na mapumziko ya kiaina kati ya watendaji wa serikali na wale wa chama tawala. Sasa navyoona mimi tangu tuanze kampeni za uchaguzi uliopita hadi leo hakuna kiongozi wa chama tawala wala wa Serikali aliyepumzika - yaani ni mchaka mchaka tu. Si police wala idara zingine za serikali ni kimbia kimbia, inafikia hatua mpaka wanasema CHADEMA wanafanya hii nchi isitawalike.

Mimi nawapongeza CHADEMA, kwa mara ya kwanza Tanzania tunaona kila siku viongozi wapo mbio mbio. pongezi zenu toka kwangu. keep it running CHADEMA.

Kwa CCM mkubali mapungufu yenu unganeni na Wapinzani kutetea hoja za msingi - msione aibu kuzidaka kwani kutofanya hivyo mtakiua chama chenu.
 
Watakimbizwa mchakamchaka mpaka watakapojuwa kwamba waajiri wao ni wananchi vinginevyo wako kwenye marathon
 
Na bado mpaka mtavikimbia hivyo viti mlivyopata kwa njia ya uchakachuaji na ufisadi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom