WAUMINI wa dini ya Kiislamu mkoani Dodoma, wamewataka Watanzania kupuuza uvumi kuhusu mgogoro wa Libya, badala yake, wametaka kuungana na kumuombea kiongozi huyo adumu madarakani.
Wito huo...
Salaam wenzangu , jamani naomba kujua hivi ile kesi ya matumiza mabaya ya madaraka iiliyokuwa ikimuhusu mhe Basil pesambili Mramba, DR Yona na yule katibu mkuu mstaafu wa...
Wanajamvi leo nimefuata ushauri wenu,nikapanda Hood kutoka Morogoro kwenda Arusha!
Safari ilikuwa haina shida mpaka kufika kati ya Hedaru na Same!!Tukasikia mlio wa ajabu,hapa sidhani kama dereva...
Naamini maendeleo ya dhati ya Tanzania yataanzia pale katiba mpya itakapoanza kufanya kazi;
naamini mfumo wa majimbo ukikubaliwa mambo kama;
1.Umiliki wa vyanzo mbalimbali vya mapato utabaki...
Katika hali ya kutokuwa ya kawaida! Tangu leo asubuhi kuna makundi makubwa ya kabila la Maasai na hususan vijana wa kiume ktk umri tofauti na wakiwa wengi sana kwani huku kwe2 Sakina wamepita kama...
Rais Jakaya Kikwete akimkabidhi Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Tully Mwambapa picha ya Mwalimu Julius Nyerere iliyonunuliwa na Benki hiyo kwa kiasi cha Sh.milioni 35,wakati wa chakula...
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu na Mwenyekiti wa Kongamano, Benjamini Mkapa akichangia mada kwenye kongamano la kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere lililofanyika jijini Dar es Salaam...
WanaJF wenzangu naomba mnijuze nami nipate ufahamu, nataka nipate nakala ya WARAKA WA UTUMISHI WA UMMA latest version coz DHRO wetu anaubania na anatunyima haki zetu za msingi mfano kujiendeleza...
Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake Monduli, Arusha, jana. Picha na Filbert Rweyemamu
Peter Saramba na Moses Mashalla, Monduli
WAZIRI Mkuu...
Mamia ya wanafunzi na wananchi katika Barabara ya Uhuru wakiwa hawajui la kufanya baada ya magari ya daladala kugoma.
Madereva wa dala dala na wapiga debe wakilizonga gari aina ya Hiace...
Wakuu, ITV wapo live kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya chuo kikuu cha dar es salaam, wageni mbali mbali naona wameshafika, na wengine wanaendelea kufika. Miongoni mwa waliofika ni, Rais Mstaafu wa...
Leo hii kumetokea ajali ya hiace eneo la njia panda Airport Arusha, chanzo cha ajali hiyo ni loli lililokuwa linaovertake kutaka kugongana uso kwa uso na hiace hiyo kisha dereva kulipeleka porini...
Habari za asubuhi wadau
Asubuhi ya leo nimepigiwa simu na rafiki akaniambia jambo la kushangaza sana.
Katika baadhi ya maeneo ndani ya jiji la Dar, kila wakati umeme unapokatika utasikia makelele...
Jamani kwa kweli uvumlivu umetushinda huku mtaani...kwa wakazi tunaoishi Victoria ,Uporoto street ,imekuwa kero kubwa kutoka kwa waliopewa jukumu la kutengeneza barabara za manispaa ya kinondoni...
Nimewahi kusikia kuwa Mtwara mpaka Nachingwea kulikua na railway kabla ya uhuru wa tananyika. nilipojaribu kufuatulia nikapata habari kuwa ni kweli railway ilikuwepo lakini mara baada ya uhuru...
Habel Chidawali,Dodoma
POLISI mkoani Dodoma wanawashikilia viongozi 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) kwa tuhuma za kukiuka amri ya polisi iliyozuia kufanyika kwa mkutano wa...
Sina hakika kama ni sheria au mazoea kwa askari wetu,jeshi,polisi,magereza,zima moto na uhamiaji huwa hawalipi nauli hasa kwenye dala dala wanapoenda /kurudi kazini au kwenye shughuli zao zingine...
Ndugu wana JF,nimefurahishwa sana na kauli ya Mh.E.Lowasa juu ya vyombo vyetu vya habari hapa Tanzania kuhusu kutumia mda mwingi ktk kuzungumzia mambo yasiyo na msingi na kuacha mambo ya msingi...
Naombeni msaada wa vitabu hivi nitavipata wapi kwa sasa mana nimehangaika bila mafanikio
1.UHAINI
2.UCHU
3.KIKOSI CHA KISASI
4.KUFA NA KUPONA
5.MIKONONI MWA MAUTI
6.HOFU
7.HUJUMA
8.KIKOMO...