Askari kutolipa nauli inanikera | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Askari kutolipa nauli inanikera

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Jun 24, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Sina hakika kama ni sheria au mazoea kwa askari wetu,jeshi,polisi,magereza,zima moto na uhamiaji huwa hawalipi nauli hasa kwenye dala dala wanapoenda /kurudi kazini au kwenye shughuli zao zingine ili mradi tu wana sare zao,papo hapo wafanyakazi wengine,hata wenye vipato vidogo na wanafunzi wanalipa kama kawaida.Je ni kwamba kazi zao ni muhimu sana kuliko za wengine au ni kuwaogopa?
   
 2. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,405
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  si sheria bali wanaogopwa, aidha kutokana na hilo wanalilazimisha wao wenyewe (askari) hadi limezoeleka
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Pia ni wababe kupita kiasi,acha tu mkuu.
   
 4. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hapana si kwamba wanaogopwa. Suala hili lilipitishwa wakati wa Rais Mwinyii kutokana na madai kuwa vipato vyao ni vidogo na wanawatumikia wananchi. Well huu ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu. Maana wenye magari hawasamehewi kodi na wala hawapewi sub-sidy yoyote. Kuna wakati nilikuwa UK, wazee above 60 years na walemavu wanapanda vyombo vya usafiri bure, lakini serikali ilikuwa inafidia gharama zile. Kwahiyo hawa wenye magari wangekaa wakajadiliana na serikali aidha wawape watumishi wao pesa ya usafiri au wawapunguzie nafuu ya kodi au sub-sidy kwenye mafuta ili wapate nafuu kwenye biashara. Vinginevyo dhana ya ujariamali inakuwa haina maana.
  Tena mbaya zaidi unaweza kumkuta askari anasimamisha basi au hata gari ili amwombee jamaa yake lift.
   
 5. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kama wanafunzi wanalipa kwa nini polisi wasilipe.
   
 6. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Enzi zile za mabasi ya UDA kuna kipindi kuliibuka kundi la vibaka wa kutisha ndani ya mabasi wakiwaibia wasafiri, serikali ikatoa pendekezo kuwa askari polisi wapande bure mabasi ya UDA ili wawe wanawadhibiti vibaka wasiwaibie wasafiri.

  Kipindi kile kilipopita maskari wote wakageuka kuwa ndio vibaka wa kutolipa nauli. Kimsingi hakuna sheria yeyote inayomlinda askari hawa wasilipe nauli endapo wamiliki wa vyombo vya usafiri wataamua kukataa na kuwafungulia mashitaka.

   
 7. serio

  serio JF-Expert Member

  #7
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  braaaaaaaaaaaahhh....eti nao wa private security wanataka wasilipeee....
   
 8. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  eti bwana .na wao(njagu) fulltime wanakula hela za wauza gongo,bangi na unga jumlisha na vibaka uchwara,tena mi naona hao njagu na jamii yao walipe mala mbili au laaa! !!!!bbwawe na usafiri zao uwezo wanao ajili wanachakachua hela na hiyo miunga yenyewe ndo wahusika wakuu wa fo sale, vile wanadaigi ni ushahidi lakini mmmmmmm?waweza skia imekamatwa kg 5 lakini kizimbani zikaja 0.000001 mpoooo?!
   
 9. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #9
  Jun 25, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,428
  Likes Received: 12,699
  Trophy Points: 280
  haaa sasa hiyo uda si walishairestisha in pic sa inabidi WAFUTE KAULI BANAAAA
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Jun 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Inabidi na wanafunzi nao watazamwe, wasilipe nauli!
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Leo asubuhi nimemuona konda anakomaa vibaya na wanafunzi lakini wakaingia askari wawili akanywea kimyaa.
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Ni afadhali pia kama ingefidiwa ili wanafunzi wasibughudhiwe.
   
 13. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kukera tu, inatia kichechefu, baba zima halilipi nauli eti askari, mtoto mdogo wa shule analipa nauli.
   
 14. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  makonda wanawaita MAYAI VIZA!!!
   
 15. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ndio zao makonda kuwakomalia madent lakini wakiona mandata wananywea
   
 16. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Makonda bwana, " wanawaita waheshimiwa maafande MAITI "
   
 17. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Wasafirishwe bure kwa gharama ya nani, wakati wana wazazi au walezi wanaowalea?
   
 18. B

  BOKO HAARAM Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walipe kama ni kazi,mbona mwl ni mfanyakazi wa serikali na analipa nauli...!?au mwl kpato chake kinatosha m nadhan hii nchi si democratic state ila ni millitary state...!
   
 19. Alexism

  Alexism JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 2,443
  Likes Received: 1,015
  Trophy Points: 280
  Nasema hivi,haya yote sisi ndo tunayalea yote haya.Uwe wizi mnabadirisha wizi eti ufisadi.
  Askali wote inabidi walipe nauri kama watu au wasafiri wengi.Mambo hiyo yakome haraka. Hivi niulize kwenye ndege nako hawalipi??
   
 20. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #20
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Lakini wanasemea moyoni.
   
Loading...