Mgomo wa daladala ulivyopambana na polisi arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgomo wa daladala ulivyopambana na polisi arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Oct 20, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Adhayadaladala2.JPG


  Mamia ya wanafunzi na wananchi katika Barabara ya Uhuru wakiwa hawajui la kufanya baada ya magari ya daladala kugoma.

  daladala3.JPG

  Madereva wa dala dala na wapiga debe wakilizonga gari aina ya Hiace lililokaidi amri ya kugoma.
  HALI si shwari katika jiji la Arusha baada ya jeshi la polisi kuingilia kati na kuzima maandamano ya madereva na makondakta wa daladala kwa mabomu ya machozi walipokuwa wakielekea katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha jana.

  Madereva hao wametangaza mgomo usio na kikomo hadi pale madereva wenzao zaidi ya 50 walio mahabusu na gerezani waachiwe bila masharti yoyote.


  daladala4.JPG  Wapiga debe na madereva wakiwa na mabango yenye kupinga kunyanyaswa na askari wa usalama barabarani kutokana na adhabu za mara kwa mara ikiwa ni pamoja na vifungo gerezani.

  HABARI/PICHA NA JOSEPH NGILISHO, ARUSHA /GPL
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  This is still happening in TZ. So Sad to hear this.
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Ngoja waendelee kulichochea, wakati moto utakapolipuka watajikuta hawauwezi tena hata kwa maguruneti.
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Haya maandamano ya vikundi mbali mbali kwa sababu mbali mbali ni dalili mbaya sana. Tuombe Mungu...
   
Loading...