Kesi hii imekuwaje.........? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi hii imekuwaje.........?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sinafungu, Oct 20, 2011.

 1. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Salaam wenzangu , jamani naomba kujua hivi ile kesi ya matumiza mabaya ya madaraka iiliyokuwa ikimuhusu mhe Basil pesambili Mramba, DR Yona na yule katibu mkuu mstaafu wa wizara ya mahela. muendelezo wake ukoje ama ndo ilikuwa kiini macho (changa la macho). .. tujuzane mwenye taarifa yoyote.
   
 2. L

  Lsk Senior Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...hamna kitu katika kesi ile,mle ni magumashi tu. Walitaka tu kuwatuliza kina Dk. Slaa. Hamna kesi kule,km hauamini subiria siku ya hukumu (...utaikumbuka msg hii). Tusubirie...!!!
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mahali pengine pa kuthibitishia usanii wa serikali hii iliyoko madarakani, utaona pia namna alivoenda Rombo na kumnadi jukwaani pesa mbili utagunia ni sarakasi tu
   
Loading...