Nachingwea to Mtwara Railway Line

Tanganyika1

JF-Expert Member
May 10, 2011
422
86
Nimewahi kusikia kuwa Mtwara mpaka Nachingwea kulikua na railway kabla ya uhuru wa tananyika. nilipojaribu kufuatulia nikapata habari kuwa ni kweli railway ilikuwepo lakini mara baada ya uhuru iling'olewa na kwenda kujenga Rad/Moshi railway......mimi naamini wazungu (wakoloni) walikua na madhumuni yao na kuamua kujenga railway line ya Mtwara/Nachingwea. Sasa sijajua kwa nini serikali ya Mwalimu iliamua kung'oa ni kwenda kujenga Moshi?.......ni swali amalo leo nimeona si vibaya kama nikiwauliza great thinkers huenda wanaweza kuwa na majibu ili nipate kupanua ufahamu wangu.......nawakilisha.

9k=
 
Back
Top Bottom