Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,171
- 3,346
Leo hii kumetokea ajali ya hiace eneo la njia panda Airport Arusha, chanzo cha ajali hiyo ni loli lililokuwa linaovertake kutaka kugongana uso kwa uso na hiace hiyo kisha dereva kulipeleka porini baada ya breki zake kushindwa kufanya kazi. Nimefanikiwa kupata picha chache lakini baadae nitaweka video ya tukio hilo. Katika ajali hiyo hakuna mtu aliyekufa lakini kulikuwa na majeruhi wawili watatu ambao kwa macho hali zao siyo mbaya.
Dereva wa hiace akiwa haamini kilichotokea, hapa anajiuliza hivi kweli nimeponaje ponaje hapa?
Picha ya mbele ya Hiace hiyo kama inavyoonekana,
Hiace hiyo ilikuwa siyo ya Arusha - Kisongo hivyo kuonekana moja kwa moja ilikuwa imeiiba njia.

Last edited by a moderator: