Je unakumbuka hivi(msaada wa vitabu)

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Naombeni msaada wa vitabu hivi nitavipata wapi kwa sasa mana nimehangaika bila mafanikio
1.UHAINI
2.UCHU
3.KIKOSI CHA KISASI
4.KUFA NA KUPONA
5.MIKONONI MWA MAUTI
6.HOFU
7.HUJUMA
8.KIKOMO
9.NYASO
,10.NJAMA
.naombeni msaada wenu vyote vimeandikwa na WILLY GAMBA(ELVIS MUSIBA).Nawasilisha hoja
 
Willy Gamba hakua mwandishi wa vitabu,
Bali mhusika a.k.a Steringi hauawi!!!
 
duh, mkuu umenikumbusha mbali.
kitabu kingine ni Njama.
muhusika mkuu mwingine aliitwa Joram Kiango.
 
Msaada kwa wale wote wanaoweza kujua nitapata hivyo vitabu mana nimuhimu kwango
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom