Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Bwana mmoja nchini Saudi Arabia ameamua kumuuza mwanaye wa kiume kutokana na matatizo ya kifedha aliyonayo. Bwana huyo Saud bin Nasser Al Shahry aliweka picha ya mwanae kwenye ukurasa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni baada ya kukutwa na kesi ya kujibu na mahakama ICC Sourse Radio Free
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zaidi ya mahabusu elfu moja nchini Kyrgyzstan wamefunga midomo yao kwa kutumia uzi ili kulalamika kuhusu mazingira wanamoishi. Mamiya ya wafungwa hao walianza mgomo wa chakula wiki iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
851 Views
mtoto mwenye asipolia akiwa na njaa mama hawezi kujua km ana njaa,hivyo atampuuza tu.madaktari wamejua hili walilia wakapewa mfano Dr mwenye degree anaanza na mshahara basic wa laki 9 naa,wakati...
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Naibu Waziri mkuu Uhuru Kenyatta na aliyekuwa waziri William Ruto wote wanakabiliwa na mashtaka. Taarifa zinazohusiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
haya jamani wenzetu Sauth Afrika wame amuwa kuanzisha wavuti itakayokuwa na kazi moja tu,ya kupokea majina ya walarushwa na mafisadi kutoka kwa wananchi na kuyatangaza hadharani majina hayo na...
0 Reactions
2 Replies
956 Views
Katika gazeti la mwananchi la leo kuna picha ya daktari mstaafu ambaye serikali imemuajiri kwa mkataba maalum. Watakuwa wengi. Hawa wastaafu wanatumika kuziba pengo la madaktari waliogoma. Ni...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
RAI yangu kwa Wana JF wote ambao tumenufaika na mikopo tujitokeze kwa wingi kulipa mikopo tuliyoipa vyuoni ili wadogo zetu waweze kusoma bila migomo isiyokuwa na maana.Nimefanya tafiti nyingi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi karibuni walikamata fedha zilizoibwa (mamilioni), juzijuzi wakakamata shehena ya mahindi zaidi ya tani 600, cha kushangaza vitu hivi vyote vimeyeyuka mikononi mwao, huko...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, mimi ni mmoja wa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu. Fedha tulizopew/kopeshwa zilitokana ka kodi za wananchi. Kinachokataa kuniingia akilini ni jinsi ambavyo tunatakiwa kulipa hizi fedha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
kweli hali ni mbaya, lakini kama magari ambayo wamepewa wasimamazi/consultants yanatumiwa kwa ajili ya kujipatia kipato kisa serikali haina hela ya kuwalipa hawa wakandarasi. leo nimepakiwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF, nimesona stori fulani kwenye gazeti moja la Kiingereza la kila wiki kuhusu bei ya umeme Tanzania, Kenya na Uganda na inasema katika Afrika Mashariki walau kwa Kenya, Tanzania na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana maajabu ya watanzania /Viongozi wetu yanaendelea. Jioni hii wakati natoka kizigoni, mbele yangu kulikuwa na Prado jeupe lenye kibao kilichoandikwa W UL pale sehemu ya namba yagari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani kwenye website ya Bodi ya Mikopo kuna majina ya wanaiwa sungu wa madeni tangia wamalize chuo hawajawahi kulipa. Sasa kuna dead line ya siku 21 ,then watu wa majembe watia muguu ofisini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kauli iliyotolewa hivi karibuni na mbunge wa monduli bwana Edward Lowassa ni ya kufedhehesha na kusikitisha sana. Ni kauli iliyojaa dharau kubwa kwa wanyonge wanaolazimika kutumia nguvu ya sauti...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Nimeshangaa kuona mnamuonesha msichana aliyetolewa mimba bila kujali kuwa jambo hili litamletea shida katika maisha yake. nijuavyo habari kama hii huwa mnapaswa kutomu- expose mhusika kwenye...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
  • Closed
WAFANYABIASHARA YA POMBE WAPIGWA RISASI ZANZIBAR Mfanyabiashara Alvind Asawla aliyepigwa risasi katika paji la uso ikatokea shingoni na kumwagiwa tindikali Zanzibar, akiwa na mkewe Bimal...
2 Reactions
49 Replies
6K Views
source: mwanahalisi, jana Jumatano 25/1/2012 ukurusa wa pili Aya ya mwisho. Dr Slaa alinukuliwa akimueleza Rais kikwete ".....nimekuja kukuona Mheshimiwa Rais, maana watu wanasema kuwa mimi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii inatakiwa kuchukua hatua za haraka kumaliza mgogoro baina yao na madaktari ili kuepusha madhara makubwa katika upatikanaji wa huduma za afya nchini. Ijulikane...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajameni wakati narudi kutoka kijijini kwetu Morogoro (Mjue kule hatuna magazeti ukilipata basi mtu katoka mjini tena kafungia khanga au samaki pia Radio hazisikiki) Nimesikia watu wanaongea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…