Tanroad Consultant vehicles | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanroad Consultant vehicles

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by madatta, Jan 26, 2012.

 1. madatta

  madatta Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  kweli hali ni mbaya, lakini kama magari ambayo wamepewa wasimamazi/consultants yanatumiwa kwa ajili ya kujipatia kipato kisa serikali haina hela ya kuwalipa hawa wakandarasi.

  leo nimepakiwa kwenye gari la hao wasimamizi, na dereva akadai hii ni hali ya kawaida asubuhi unajaza mafuta na unabuni safari ambayo ni binafsi na hakuna wa kuuliza!

  Wako wapi wanaojua sheria, hayo ,mafuta mwisho serikali inalipa, wachina wanaenda kwao nenda rudi nakuja angalia facebook yote serikali inalipa...
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Sijui unaongelea Consultants au wakandarasi, maana wote umewataja - lakini kama umeona jinai inafanyika mahali - waarifu polisi
   
Loading...