Umbea mwingine huu !!!!!!! Tutaozea jela!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umbea mwingine huu !!!!!!! Tutaozea jela!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mizambwa, Jan 26, 2012.

 1. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Wajameni wakati narudi kutoka kijijini kwetu Morogoro (Mjue kule hatuna magazeti ukilipata basi mtu katoka mjini tena kafungia khanga au samaki pia Radio hazisikiki)

  Nimesikia watu wanaongea kwenye basi kuwa eti Ndege ya Mtukufu Rais wetu ni mbovu, imeenda matengenezo nje ya nchi na Serikali hatimaye yashindwa kulipa gharama za matengenezo.

  KISA: Serikali haina pesa kabisa kwenye account zake (zimebaki na salio Tshs. 0.0)

  Jamani ambao mlikuwa huku mjini naomba mnifahamishe nisije Ropoka nikafungwa jela bure!!!!!!! mtoto wa Kiluguru.

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 2. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,920
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  MTUKUFU......mhhh!
  Mtukufu ni Mungu peke yake...endelea kutuza watu kwa uoga wako wakinafiki!
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  wameikodisha he he he
   
 4. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Ndugu elewa Kunguru mwoga huficha ubawa wake........... wenzio wameshika kwenye mpinii wakiamua kukuweka pabaya. Utahamia gerezani Segera kama Babu SEYA..

  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!!!!!
   
Loading...