ITV Mmemdhalilisha binti aliyetolewa mimba kwa kumuonesha live kwenye taarifa ya habari. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV Mmemdhalilisha binti aliyetolewa mimba kwa kumuonesha live kwenye taarifa ya habari.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by THE GEEK, Jan 24, 2012.

 1. THE GEEK

  THE GEEK Member

  #1
  Jan 24, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 90
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeshangaa kuona mnamuonesha msichana aliyetolewa mimba bila kujali kuwa jambo hili litamletea shida katika maisha yake. nijuavyo habari kama hii huwa mnapaswa kutomu- expose mhusika kwenye public. msichana elizabeth afungue mashitaka kwa jambo hili.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  nimecheki ile hbr sikuielewa vyema, msichana mwenyewe anataka haki ifuatwe, sasa sijui alilazimishwa kutoa mimba?
   
 3. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,038
  Trophy Points: 280
  Binafsi pia nimesikitka sn kwa kitendo hiki..ht mjomba wa binti nae kakubali video na kuoneshwa kwa hbr..ingetosha tu kutoa hbr afu sura ya binti na mjomba wake zikawekwa vivuli.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  duhh
  hatari asi unajua tena watangazaji wetu awa na maproducer wao....na uyo dada akujua km atatokea?
  dah mtaani noma atataniwa..ataonekana kinyago....its bad not gud ..isnt fair
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Msaidien huyo Bint
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  not fair
   
 7. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Yaani uko kama mie nilifikiri hivyo ila nikakumbuka anaweza kuwa over 18 ambayo si mbaya ila angekuwa below ndo angekuwa amedhalilishwa.

  Pili nawapongeza walezi wake kwani wamemlea kujiamini ndio maana haoni wasiwasi kujieleza. Jamani sisi wazazi wajao tujifunze kuwajengea confidence wanetu itatusaidia sana.

  Otherwise huyo dokta asichukulie uwezo wake kupindisha sheria ambayo wazi inaonekana imeshaanza kupindishwa
   
 8. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Mimi sioni kama kutoa mimba ni big deal kwa miaka hii. Asilimia kubwa ya wanawake almost 70% walio kwenye ndoa na wasio kwenye ndoa wameshatoa mimba.
   
 9. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,300
  Likes Received: 3,038
  Trophy Points: 280
  Ni kwmba daktari alikuwa na mahusiano na yule binti( nadhani ni kidato cha 2/3) then yule binti akaconceive daktari akamwambia waitoe mimba binti akakataa...sasa cku hyo ndo binti kaenda huko hospital Aga Khan jamaa katumia mwanya huo kumchoma sindano(nadhani ya uchungu) so binti akaondoka bt baada ya muda akafil maumivu..ksho yake kaenda hosptal nyngne kawe akajifungua kichanga hakijatimiza muda. Ndo zengwe likaanzia hapo.

  QUOTE=zumbemkuu;3199369]nimecheki ile hbr sikuielewa vyema, msichana mwenyewe anataka haki ifuatwe, sasa sijui alilazimishwa kutoa mimba?[/QUOTE]
   
 10. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kwani kuna ubaya gani kumuonyesha victim? Kila kitu mnataka kifichwe halafu mkija kukisikia mnabakia kulalama kuwa mnafichiwa habari
   
 11. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mpaka nipate maoni ya dr (muhusika) ndio tutaelewana, vinginevyo sioni kosa kumuuzisha nyago muuaji
   
 12. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nani alimwambia atoe mimba? Kutoa mimba ni mauaji ya kiumbe kisicho na hatia, kwa kiherehere chake kapata mimba na walioonyesha uhalisia wa tukio wana kosa gani?
   
 13. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  du! No ethics at all... Hao ndg ni ma' *****.
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  Anywa hii iwe fundisho kwa wengine
  ni dk malyya wa aghakan...amekuwa akimshawishi sana ssana kumtoa huyu mwanamke mimba akawa anakataa
  na alichofanya nahisi ndicho cha kumfikisha mahakamani kwa nini

  1..sindano aliopigwa aijulikani kama iko salama
  2.binti apimwe hiv pengine pamoja mmejua ni kwa ajili ya kutoa mimba pengine ameeweka mambo yake dk kukuondoa ni dk 1 na thumuni
  3..swala la kwa nini amepata mimba hio ni la huyo binti kwa nini alimvulia chupi akijua ni mwanafunzi
  na wakati anataka kuingiza akujua anatakiwa kutumia condom ama akujua asipotumia condom atazaa nzi??
  Lazima hawa watoto ifike wajue matatizo kama haya ayako kwa wanaume tu na kwawanawake wajue ....
  4.akiwa anampangusa shahawa yule mwanaume akumuuliza zile zilizo ingia ndani ni nini na madhara yake
  5...lazima ajue wakati wa raha ajue kuna shida..hata biblia inasema kuna wakati wa raha wakati wa shida wakati wa kununa wakati wa kucheka sasa alicheka kitandania kikojolewa leo akanune vizuri

  loh
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,004
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  aisee huyo dr anastahili kifungo cha mvua 30 bila kiangazi hakiyanani,
  hivi vitoto vya shule sometimes ni kweli nivitamu lakini spidi ya Dr. kutaka kuua si nzuri kbsa aisee.
   
 16. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kumbe mtoa mimba hatakiwi kujulikana hadharani??? hayo yanayofanywa kwa kufichwafichwa iko siku yote hayo yatawekwa wazi wazi mbele ya haki, bora upate aibu hivi sasa kuliko siku ile
   
 17. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  zumbe bana.... hapo bold mimi huwa napendelea zaidi vile vyenye hijabu, unakakuta ndani kanawaka kama kioo, mimi nimewekeza hapo ubungo islamic na al-muntazir
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  vitamu zaidi ya asali ndio maana naomba dk wamuulize kwa makini jamani wasikimbilie tu uamuzi
  Pengine ya Dk nayo Tamu mwingine akapata bahati humu Jf Kuonja ya Dk
   
 19. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #19
  Jan 24, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wamfikishe mahakamani fasta
  alosikiza naomba asimulie kisa kizima nasi tufaidi uhondo
  binti anasoma shule gani? alizalaia wapi,wazazi wake wamechukua hatua gani hadi sasa?
  dr nae kaonyeshwa kwa tv?
   
 20. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  mtoa hoja naungana na wewe,hata nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuta victim kama huyu anaanikwa wazi,naomba kuuliza hivi hawa itv wazima kweli? ndio maana wakati mwingine nasema kuelimika ni bora hawa ni vilaza na ile familia hawajui tu yule binti itamtesa sana kwenye jamii hata kama tukio zima ni la kweli au kumchafua mtu sababu ya njaa
   
Loading...