Waalimu mmeona wenzenu Madaktari?(amkeni) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waalimu mmeona wenzenu Madaktari?(amkeni)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kimboka one, Jan 26, 2012.

 1. k

  kimboka one JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2010
  Messages: 734
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mtoto mwenye asipolia akiwa na njaa mama hawezi kujua km ana njaa,hivyo atampuuza tu.madaktari wamejua hili walilia wakapewa mfano Dr mwenye degree anaanza na mshahara basic wa laki 9 naa,wakati mwalimu ni laki 4 naa.bado wanalia pamoja na kuwa na posho tofauti na waalimu,ambao kila mara ni kutishia tu lakini hawalii.msipolia mtaendelea kuumia na kuumiza wanafunzi kwa mgomo baridi unaoendelea sasa hivi.Mkoba sijui kapewa nini?
   
Loading...