Wavuti ya kuwaumbuwa mafisadi yaanzishwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wavuti ya kuwaumbuwa mafisadi yaanzishwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jan 26, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  haya jamani wenzetu Sauth Afrika wame amuwa kuanzisha wavuti itakayokuwa na kazi moja tu,ya kupokea majina ya walarushwa na mafisadi kutoka kwa wananchi na kuyatangaza hadharani majina hayo na kuwapeleka mahakani wote wahusikawanaharakati hao wameweka na namba za simu ili iwe rahisi kupata mawasiliano,kwani wanadai kuwa chama cha mh Zuma hakifanyi vyema ktk maswala ya ufisadije wanaharakati wa TZ mpooooozi? mmeona mifano hiyooooooooo?
   
 2. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,308
  Trophy Points: 280
  Duh hao wamechelewa kweli sisi kwetu tanzania tulisha Iweka zamaaani ila tu ndio kwanza inaanza kuota meno. We ukifika bongo ulizia JF
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  nilidhani bongo
   
Loading...