Nimeipenda kauli hii ya Dr Slaa alipokwenda kumwona rais Kikwete Ikulu

MAMA POROJO

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
4,974
785
source: mwanahalisi, jana Jumatano 25/1/2012 ukurusa wa pili Aya ya mwisho.

Dr Slaa alinukuliwa akimueleza Rais kikwete ".....nimekuja kukuona Mheshimiwa Rais, maana watu wanasema kuwa mimi nimekukimbia. Nikukimbie kwa nini?" alisema Dr Slaa, huku wajumbe waliokuwepo wakiangua kicheko.

Naye Rais Kikwete, akijibu hoja ya Dr Slaa alisema "..... hawa akina michuzi ( akimnyooshea mpiga picha wa Ikulu, Muhidin Issa Michuzi) wanapenda kutia chumvi".

mara baada ya kauli hiyo ya Dr Slaa na majibu ya Rais Kikwete, mkutano ulianza rasmi.

My take: Dr Slaa kutumia neno Mheshimiwa Rais ni kauli nzito ni mwanzo mzuri wa safari ndefu ya kufikia muafaka.

Mods iache thread hii kwenye jukwaa la siasa.
 
Dr Slaa inakujengea heshima kumtambua Rais kikwete kama Rais wetu wote suala la uchaguzi tuliache tujenge nchi
 
Mkuu,
Chadema na Dr (PhD) W. P. Slaa kwa ujumla hawana tatizo na rais. Urais ni nafasi ambayo inataratibu zake kuipata. Wanachokipina na kutokukubali cdm ni utaratibu uliomuweka JK kwenye nafasi hiyo. Wote tunafahamu mchezo mchafu uliochezwa na Nec wakishirikiana na Tiss hadi kumtangaza kuwa rais. Hilo ndilo cdm na wengine hatukubaliani nalo.

Ili kuonesha kutnkubaliana nalo, cdm waliona kutoka ndani ya bunge siku analizindua itakuwa ni wakati na mahali muafaka kuonesha hisia zao kwani bunge linatazamwa na wengi hasa ile siku ya uzinduzi wa bunge jipya. Na walifanya hivyo

Mwisho, sijui ulikuwa unazungumzia muafaka gani? Maana kwenye hilo hakuna muafaka hadi tume na tiss zitakapoacha kuingilia maamuzi ya wananchi!
 
watu wengi sn humu ndani hawamuelewi Dr.Slaa, 7bu mojawapo ni kuwa yeye ana upeo mkubwa kuliko wao as a result sometimes it becomes ngumu kumunderstand lkn baada ya matuition kadhaa wa kadhaa wanayoyapata kutoka kwa wadau wa masuala ya KISIASA hatimaye wanamuelewa na kutoa pongezi. HE (DR.SLAA) is a good man
 
slaa amebadilika sana kwa sasa,anaonekana ni mtu anaeweza kukaa na watu wazima akafanya mambo ya maana
 
watu wengi sn humu ndani hawamuelewi Dr.Slaa, 7bu mojawapo ni kuwa yeye ana upeo mkubwa kuliko wao as a result sometimes it becomes ngumu kumunderstand lkn baada ya matuition kadhaa wa kadhaa wanayoyapata kutoka kwa wadau wa masuala ya KISIASA hatimaye wanamuelewa na kutoa pongezi. HE (DR.SLAA) is a good man

kaka umekosea kidogo,slaa ni mwanasiasa,inaezekana wewe una maslahi nae ndio maana unamuona ni shujaa wake lakini kumbuka nae ni binadam.mimi slaa kwa sasa namkubali kwa sababu anaendana na mapigo ya siasa za sasa
 
bnafsi na zani chadema wlituchanganya juu ya kumtabua au kutomtabua,any way tht politics,.lakn nadhni utashi huu wakisiasa ni mzru katika kufikia jambo hli la umja wakitaifa katika kuandika katiba hii mpyaa..na amini kua raisi anayo dhamila ya zati katika hili...ebu tuone huu hii sanaa itaishia wapi?...
 
watu wengi sn humu ndani hawamuelewi Dr.Slaa, 7bu mojawapo ni kuwa yeye ana upeo mkubwa kuliko wao as a result sometimes it becomes ngumu kumunderstand lkn baada ya matuition kadhaa wa kadhaa wanayoyapata kutoka kwa wadau wa masuala ya KISIASA hatimaye wanamuelewa na kutoa pongezi. HE (DR.SLAA) is a good man

unajua watu hawaelewi hata KIDOGO, Dr slaa ANAMKUBALI KIKWETE KWA MSINGI MMOJA KUWA NI RAIS KIKATIBA NA KISHERIA ILA SIO RAIS HALALI, NA YEYE NI MTII WA SHERIA INGAWA WATII WA HAKI HAWAPO KATIKA KIZAZI HIKI, KINACHOPINGWA NI LEGITIMACY NA SIO SHERIA!
 
mods hamtendi haki, tukio la chadema kwenda Ikulu mliliacha jukwaa la siasa lakini mwendelezo wa nini kilijiri huko Ikulu mnapeleka hoja mchanganyiko......mmmmm kuna kitu hakiko sawa katika maamuzi ya nini kikae jukwaa gani na kwa nini? jipangeni vizuri hamtaeleweka!!!!!!!!!
 
watu wengi sn humu ndani hawamuelewi Dr.Slaa, 7bu mojawapo ni kuwa yeye ana upeo mkubwa kuliko wao as a result sometimes it becomes ngumu kumunderstand lkn baada ya matuition kadhaa wa kadhaa wanayoyapata kutoka kwa wadau wa masuala ya KISIASA hatimaye wanamuelewa na kutoa pongezi. HE (DR.SLAA) is a good man
Sijaelewa
 
umbea tu,sasa tujadili matatizo ya kijamii.......siasa kapuni hadi 2015

Lakini haya yote yanaihusu Jamii ya Kitanzania; kwani kama si hivyo hata wenyewe nao wasingelifanya wanayofanya hadi 2015. Kampeni na uchaguzi ndio ya mwaka 2015, lakini kujadili mustakabali wa Nji ni jambo la kawaida.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mkuu,
Chadema na Dr (PhD) W. P. Slaa kwa ujumla hawana tatizo na rais. Urais ni nafasi ambayo inataratibu zake kuipata. Wanachokipina na kutokukubali cdm ni utaratibu uliomuweka JK kwenye nafasi hiyo. Wote tunafahamu mchezo mchafu uliochezwa na Nec wakishirikiana na Tiss hadi kumtangaza kuwa rais. Hilo ndilo cdm na wengine hatukubaliani nalo.

Ili kuonesha kutnkubaliana nalo, cdm waliona kutoka ndani ya bunge siku analizindua itakuwa ni wakati na mahali muafaka kuonesha hisia zao kwani bunge linatazamwa na wengi hasa ile siku ya uzinduzi wa bunge jipya. Na walifanya hivyo

Mwisho, sijui ulikuwa unazungumzia muafaka gani? Maana kwenye hilo hakuna muafaka hadi tume na tiss zitakapoacha kuingilia maamuzi ya wananchi!

filipo unaakili sana,kama magamba wote angekua wanakubalina na ukweli huu...basi tu bwana.ni kwamba ukweli huu unafahamika sana tu ila wanamagamba hawataki kusema na kukil na kuelezea kwa kifupi na kwa kina kama ulivyo eleza.lakini tutafika tu
 
JK ni rahisi aliyeingea madarakani kwa njia ya wizi toka kwenye kura za maoni ndani ya CCM hadi uchaguzi mkuu 2010.walio mchangia pesa haram na yeye wote tutakutana nao kwenye jehanamu
 
Back
Top Bottom