MOBILE BOOTH LTD from Its Modest Beginnings Has Now Become One Of The Fastest Growing Retailers Of Mobile & Electronic Products On The Web. We Are Today An Authority In Power Protection: We...
Jamani katiaka kupitia pitia magazeti niliyonunua leo baada ya kutoka kwenye ibada, nimekutana na habari ambayo imenishtua na kunitia majonzi makubwa.
Habari hii nimeipata toka ktk gazeti la...
Duu,
ama kweli sikio la kufa halisikii dawa, yaani anawaogopa watendaji wenzake kuwawajibisha kabisa
ona sasa tutaanza kufa sasa hivi coz yako, madaktari walikwambia wawajibishe viongozi wakuu wa...
I know that, so many factors has to be considered to know which place is the most expensive in Tanzania. Mostly we use factors in the major components of cost of living including: goods &...
ni Bwana Msafiri Shaban Kamoto, Mkazi wa Mabibo mtaa wa Barcalona Ni aliewahi kugombea Udiwa kata ya Mabibo 2010.
Mzazi wa mtoto huyo wa miaka 13 bwana Hamis Mussa.
Lakini baada ya kufanya...
Wana JF karibuni singida mje muone tunavopaishwa na mbunge wetu, jamani sisi tumekuwa wapiga kura kwa kula pilau ng'ombe, kupewa t-shirt, kanga na vitenge mpaka lini? CDM makao makuu mwulika mwizi...
Ndiyo Wakubwa ! Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT-Mwanza amekutwa amefariki maeneo ya gamba beach asubuhi hii. Baada ya kuangalia vitambulisho vyake imebainika ni mwanafunzi mwaka wa kwanza...
Ni wazi kuwa siku za karibuni, vipindi vilivyoanza vyema vya ITV kv. Dakika 45, Malumbano ya Hoja na Kipima Joto sasa vinapwaya na kukosa mvuto.
Tafadhali fuatilia uone ni wapi hao waandaaji wa...
Kuna jambo nilitaka kutazama huko ghafla nashangaa kuona haipatikani url niliyo tumia ni www.tic.co.tz.!
tena nilitaka nihakiki ili nimwelekeze mgeni mmoja atazame................aibu tupu!
Je...
Ndugu wana-JF, nadhani imefikia wakati, sambamba na sheria ya gharama za uchaguzi, tunahitaji tuwe na sheria ya kumlazimisha mgombea wa chama cha siasa kupeleka mahakamani ahadi zote alizozitoa...
Jamani sasa Tanesco wanakeresha leo hii umeme unakatwa na kurudi mara 7,hivi sasa wamekata tena tupo gizani,kinachoudhi zaidi wakiwasha baada ya dk 10 wanakata na kurudia tena vivyo hivyo ni kama...
Hakuna kitu kinachonikera kama baadhi ya waandishi hasa wale wasiokwenda shule vilivyo kupenda kutumia neno Dakta Jakaya Kikwete, Dakta Karume na sasa nimesoma kwenye blog ya vuvuzela aitwaye...
Mheshimiwa Rais,
Yawezekana hii ikawa sio njia itakayokufikia moja kwa moja lakini naamini viongozi wote huchungulia hapa kila mara ndiyo maana wakati mwingine huilalamikia sana JF.
Mheshimiwa...
Habari zenyu G thinkerz? Mim ni mzaliwa wa kata ya Mbuguni katika jimbo la arumeru mashariki, kwa kuwa mimi ni mwenyeji wa kule na tukio linalotokea nimekuwa nikifuatilia kwa makini ingawa npo...
jamani naomba mnisaidie kuna imigration officer mmoja hapa mkoani kigoma kila akimwona mtu mweupe hasa wazungu na wahindi kavaa overroll tu basi kosa atauliza pass na work permit bila kujali...
Hivi imekaaje kazi moja ikaitwa ya wito na nyingine si ya wito wakati watu wote wanafanya kazi kwasababu wanataka kuweka mkono kinywani na kuishi maisha bora?
Viongozi wa chama cha madaktari watangaza rasmi kusitisha mgomo uliokuwa ukiendelea baada ya kuzungumza na Raisi Dr. Jakaya Kikwete,...pamoja na hayo wamemsimamisha uanachama Dr. Nkya kwa muda wa...