....... "Kama Barcelona'.......!' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

....... "Kama Barcelona'.......!'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bambanza jr., Mar 10, 2012.

 1. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenyu G thinkerz? Mim ni mzaliwa wa kata ya Mbuguni katika jimbo la arumeru mashariki, kwa kuwa mimi ni mwenyeji wa kule na tukio linalotokea nimekuwa nikifuatilia kwa makini ingawa npo Dar-mbez lkn nimeshangazwa na tanesco kukata umeme na kurudisha kwa leo tu! Sijui sisi tulio mbali na eneo la tukio tuna madhara gani? Kwa sasa arumeru hamna umeme na eneo kubwa la mbezi pia, je wametumwa? Nasari kawaambia watapanda kushambulia na kuzuia pia kama barcelona! So hawazuiliki hao raia ni soo..!
   
Loading...