Which is the most expensive place in tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Which is the most expensive place in tanzania?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by jessetz, Mar 9, 2012.

 1. jessetz

  jessetz Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I know that, so many factors has to be considered to know which place is the most expensive in Tanzania. Mostly we use factors in the major components of cost of living including: goods & services, groceries, health care, housing, transportation, utilities etc. From all these things, which place might be the most expensive in Tanzania?
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hakuna,cost ya livingi haitegemei na sehemu bali ni wewe mwenyewe utavyoishi,kwanin uende kunywa chai steers wkt mama ntilie ifm wapo pale? Kama mfuko wako mnene tanua tu kajiachie tu malunch hyaiti hotel n.k
   
 3. K

  KVM JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,814
  Likes Received: 336
  Trophy Points: 180
  I think DSM is the most expensive especially in the following areas: it is difficulty to secure a decent accomodation, transport and food.
   
 4. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Arusha jombaa,mfano mdogo tu ni chapati kwa mama ntilieni shs400,housing ndio usiseme bei zake za kodo,nahisi hii imechangiwa na mzunguko mzuri wa pesa na uwepo wa taasisi mbali mbali za kimataifa na ujio wa watalii mara kwa mara!! Kama hujawahi fika karibu au ulizia tu!!
   
 5. Abdillahjr

  Abdillahjr JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Arusha jombaa,mfano mdogo tu ni chapati kwa mama ntilieni shs400,housing ndio usiseme bei zake za kodo,nahisi hii imechangiwa na mzunguko mzuri wa pesa na uwepo wa taasisi mbali mbali za kimataifa na ujio wa watalii mara kwa mara!! Kama hujawahi fika karibu au ulizia tu!!
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  dar zbr na arusha
  kule arusha kuna hotel $10,000 per night
   
 7. m

  massai JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nilikua arusha mwezi wa kumi na mbili,kule usipime mwanangu,kuna viwanja villitolewa na serekali,ogopa mahali riziwani anakiwanja wewe mlalahoi sijui kama utaweza hapo,kiwanja chenye hatua 30 kwa 40 kinauzwa milioni 60,nyumba kama zile zilizopo mitaa ya sinza kama huna milioni mia tatu mpaka miatano huwezipata.hizo zinazoitwa apartment ndio usiguse kabisa,hizo ni in terms of usd,arachuga ni noma jamani,nyumba yakulala wageni vibosho wakishaweka tiles tu nikuanzia 35 per night.arusha ni nouma
   
 8. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dodoma, bungeni, wanakolala ndege watoto (makinda) na ndugai. POSHO HAZIWATOSHI
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,546
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Arusha mwisho kama huna maji ya kutosha huwezi kukaa .
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Arusha city mkuu.
   
 11. jessetz

  jessetz Member

  #11
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu, sijauliza jinsi ya kupunguza gharama bali sehemu iliyo ghali Tanzania kuishi kwa ujumla wake
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Anywhere on earth you can fit in as long as you know what is your value and you accept it! Saying Dar is expensive depends on how you wanna live your life and how much exposure you have had. To some buying a soda for tshs 800 is too far the budget and they will walk a km to buy it for tshs 500.
  my take is you can get anything anywhere kama umejipanga. arusha ni mji ghali lakini almatejoo kuna vyumba vya kupanga vya matope, na chapati za sh 100 pia.
   
 13. jessetz

  jessetz Member

  #13
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  It is very true Mkuu, and I agree with you but I wanted in sense of generalizing the places. Najua kuna sehemu cheap hapo hapo dani ya hiyo sehemu expensive na inategemeana na jinsi unavyoishi ila weka kwa ujumla
   
 14. D

  DOMA JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Lindi is most expensive
   
 15. Muce

  Muce Senior Member

  #15
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maisha ya lindi ni expensive lakin Arusha ni zaidi ya lindi, Nimeishi mikoa hiyo, Arusha funga kazi.
   
 16. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #16
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jessetz jitahidi kutumia kiswahili kwenye michango yako. Kizungu chako kinaleta ukakasi kukisoma! Enzi lugha ya taifa!
   
 17. T

  TOWASHI JF-Expert Member

  #17
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ukiwa na hela huulizi bei. So the most expensive place in Tanzania ni pale ambako idhaa ya moyo kwa maana ya matamanio, inazidi uwezo wa mfuko
   
 18. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #18
  Mar 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  dar na arusha babuuuu
   
 19. D

  Dr. Mataso Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lindi is one of the poorest region in Tanzania
   
 20. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Arachuga.
   
Loading...