mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
Jamani sasa Tanesco wanakeresha leo hii umeme unakatwa na kurudi mara 7,hivi sasa wamekata tena tupo gizani,kinachoudhi zaidi wakiwasha baada ya dk 10 wanakata na kurudia tena vivyo hivyo ni kama vile cd yenye mikwaruzo,mwishowe watatuunguzia vitu vyetu.Tanesco acheni UPUMBAVU wenu sio siri mnakera sana,mumengeza bei ya umeme lakini huduma bado mbofumbofu sh....i yenu