Mgombea wa Chadema athumiwa Kubaka. Polisi wa wamlinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa Chadema athumiwa Kubaka. Polisi wa wamlinda

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Mar 9, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  ni Bwana Msafiri Shaban Kamoto, Mkazi wa Mabibo mtaa wa Barcalona Ni aliewahi kugombea Udiwa kata ya Mabibo 2010.
  Mzazi wa mtoto huyo wa miaka 13 bwana Hamis Mussa.
  Lakini baada ya kufanya kitendo hicho na kuripotiwa polisi, Polisi wa Urafiki wamegeuza mashtaka na kuwatia hatiani mzee huyo wa maiak 70 eti kwa kosa la kutaka kumua Mtuhumiwa.
  Cha ajabu licha ya polisi kugeuza kibao kwa mzee aliekumbwa na tukio hilo. lakini walidai Mh Msafiri Shaban Kamoto amelazwa muhimbi ICU akipatiwa matibabu.
  lkn Wazee wa mtaa na wasamaria wema walipofuatilia swala hilo nyumbani kwa mtuhumiwa. walimkuta sebuleni akingalia Mchezo wa Mizwenge.
  Inasemakana Chadema wamelivalia njuga kwa kushirikiana na polisi wa Urafiki kulimaliza swali hili kiana

  Wazee wamemuomba IGP mwema kuingilia kati.

  Source. Annur ya leo
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Raha ya mitandao ndio hii, na hii ndio nyuzi ya standard ya juu tuipendayo wana JF. Ahsante sana, ni nyuzi nzuri sana na umeandika kwa kiwango cha juu na ubora usio kifani, tumekuelewa na kukusoma na tafadhali usiache kutupa habari. Hongera sana sana.
   
 3. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #3
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo ni gazeti? ndo nalisikia hapa,
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Mar 9, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,129
  Trophy Points: 280
  Naona mnaanzisha maada na kuanza kuichangia nyie wenyewe,
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Teh the the.malaria sugu at work
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kuna mwingine wa mtaa wa ali maua alikuwa diwani wa chadema kata ya kijitonyama nae alibaka yatima sasa kesi iko mahakamani
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  kumbe gazeti ni nyakati na tanzania daima pekee
   
 8. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii thread yako imelenga nini? Mbakaji? CDM?
   
 9. N

  Nelkon Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama we ni mwandishi inabidi utafute mhariri pia kwa sababu huko kukosea kumepitiliza!
   
Loading...