Mohamed Dewji na falsafa ya 'singida yetu inapaa.'

msambaru

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
245
109
Wana JF karibuni singida mje muone tunavopaishwa na mbunge wetu, jamani sisi tumekuwa wapiga kura kwa kula pilau ng'ombe, kupewa t-shirt, kanga na vitenge mpaka lini? CDM makao makuu mwulika mwizi plz plz plz twafwa huku, mbunge anafanya b/ness mpaka nje ya nchi kupitia nafaka za humuhumu ila imebaki kutuletewa zawadi za kitoto kama hizo, mbunge wetu hata kuingia mjengoni sikumbuki ni lini mwenye kumbukumbu sahihi anisaidie. Je huko aliko ndiko tulikomtuma?
 
Katiba mpya lazima iweke utaratibu wa mbunge kuwa mkazi wa jimbo analoliwakilisha na vile vile wafanyabiashara wote wapigwe marufuku kujihusisha na siasa. Mgongano wa maslahi ni mchezo wa hatari mno.
 
Wana JF karibuni singida mje muone tunavopaishwa na mbunge wetu, jamani sisi tumekuwa wapiga kura kwa kula pilau ng'ombe, kupewa t-shirt, kanga na vitenge mpaka lini? CDM makao makuu mwulika mwizi plz plz plz twafwa huku, mbunge anafanya b/ness mpaka nje ya nchi kupitia nafaka za humuhumu ila imebaki kutuletewa zawadi za kitoto kama hizo, mbunge wetu hata kuingia mjengoni sikumbuki ni lini mwenye kumbukumbu sahihi anisaidie. Je huko aliko ndiko tulikomtuma?
Kama vile kuna kauongo kwa mbaali. mbona bungeni namuona kila siku, au unaongelea bunge lipi?
 
Unamatatizo kweli!umemuona dewji bungeni lini!au umetumwa?yanayosemwa ni kweli boya haingii mjengoni, yuko kibiashara zaidi,kama we umemuona basi hilo ni bunge la wafanya biashara.mnaetaka kumbadilisha na kapuya poa mchukueni bila hata kumtoa kapuya,mtampewa bure maana ni mzigo wa m------,watu wa s/mjini mmepotea njia jipangeni upya 2015.
 
Dewji=mhindi, akikaa bungeni anawaza vile viwanda vya mafuta ya alizeti...wana singida tuamke....ccm gamba gamba tuu...
 
Wana JF karibuni singida mje muone tunavopaishwa na mbunge wetu, jamani sisi tumekuwa wapiga kura kwa kula pilau ng'ombe, kupewa t-shirt, kanga na vitenge mpaka lini? CDM makao makuu mwulika mwizi plz plz plz twafwa huku, mbunge anafanya b/ness mpaka nje ya nchi kupitia nafaka za humuhumu ila imebaki kutuletewa zawadi za kitoto kama hizo, mbunge wetu hata kuingia mjengoni sikumbuki ni lini mwenye kumbukumbu sahihi anisaidie. Je huko aliko ndiko tulikomtuma?

Hapo kwenye red! Kumbe pilau zake mnapenda sasa mnalaumu nini? Hio ndio biashara amewapa pilau mkampa ubunge, kwahiyo huyo ni bora mbunge na sio mbunge bora!! Jenerali Ulimwengu alisema, mnachagua hovyo, mnalalamika hovyo mkitendewa hovyo! Hayo si ndio mnayoyategemea? Acheni kulalama na subirini 2015 mchague mbunge bora!! Ila hilo jimbo pia ni opportunity kwa CDM 2015!!
 
Kule kwetu Sgd waelewa ni wachache sana!Wengi wanafurahia hilo pilau,khanga,kofia na fulana za jembe na nyundo!Nadhani wameridhika na ufukara wao,na kubadilisha mambo ni hadi kizazi hicho bwana akitwae,ili kije kizazi cha kudai uhuru.
 
Duh! watu wengine ni wabaguzi........Mbunge gani nchi hii ametumia zaidi ya billioni moja kwenye kuchimba visima zaidi yake? kame angekuwa mbinafsi, si angenunua gari kama BENTLY kwa matumizi yake binafsi......
 
Hata akinunua Porsche si katolea jasho fedha zake?

Cha msingi majukumu yake kama Mbunge anayatimiza? Na huenda watu walimchagua mfanyabiashara wakiamini kuna kuongezeka zahanati,au zisizo na vifaa kuwekewa,yaani kusingekuwa na kuchangishana wala nini!

Ila humuhumu JF ipo thread inayomtaja kuwa hata kama haongei bungeni,jimbo lake lina maendeleo tofauti na alivyolikuta.. Wametaja na orodha ya yote aliyoyafanya,na thamani ya fedha iliyotumika..

Kama alitumia fedha za biashara zake,ama za partners kibiashara nje ya nchi...anajua yeye..
 
Mimi nimeshasema.. Mpaka tuchepwe fimbo, ndo waTanzania tutaamka. Nani asiyejua wageni wanakuja kuchuma mali hapa, na sisi tumelala na umaskini wetu.

Dewji ni mfanyabiashara kutoka Gujarat India. Waliokaa india wanafahamu hili. Wakati anatoka kwao alikua maskini wa kutupa. Ila sasa hivi, Kikwete mwenyewe anatoa salute kwa jamaa.

Anway hayuko peke yake. Kina Rostam, Manji, wazungu kwenye migodi.

Nyerere angerudi, labda angezimia kwa presha
 
Usitulalamikie sie. Nyie si mliona pilau ngombe, khanga na t-shirt ni bora kuliko mbunge bora! Kaeni nae tu mkiwa na njaa mwambieni alete pilau ng'ombe.
Watu mnajua kabisa mnadanganywa lakini mnakubali kwa kutibu njaa ya siku 1. Nyie si mnasema Mo ni mnyaturu mwenzenu mtoto wa ipembe? Endeleeni nae salama. Hamstahili kuhurumiwa wacha mpaishwe.
 
tatzo letu ni ubaguz.naa fikra weupe wanawabagua weusi ila hyo si kwel kumbe hata weusi wanawabagua.tukianza kuchunguzana sijui watabak wangap wenye asili ya tanganyika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom