Sheria ya ahadi za wakati wa uchaguzi

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
31,275
31,404
Ndugu wana-JF, nadhani imefikia wakati, sambamba na sheria ya gharama za uchaguzi, tunahitaji tuwe na sheria ya kumlazimisha mgombea wa chama cha siasa kupeleka mahakamani ahadi zote alizozitoa wakati wa kampeni, na inapofika mwisho wa kipindi chake basi aruhusiwe kugombea muhula unaofuata ENDAPO ATAKUWA AMETIMIZA ZAIDI YA ASILIMIA 80 YA AHADI ZAKE KWA UPANDE WA GHARAMA YA AHADI ZOTE ALIZOTOA. Kwa maana hiyo nashauri tuachane na ukomo wa kutawala kwa kuhesabu miaka. Ni mtazamo.... KARIBU KWA MCHANGO WA MAWAZO.
 
Back
Top Bottom