Tovuti ya Tanzania Investment Centre............haiko hewani!

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Kuna jambo nilitaka kutazama huko ghafla nashangaa kuona haipatikani url niliyo tumia ni www.tic.co.tz.!

tena nilitaka nihakiki ili nimwelekeze mgeni mmoja atazame................aibu tupu!

Je ni yenyewe ama nimepotea njia...........msaada ama aliyeano jirani amshtue S.A wao!

kama ni kweli haiko hewa wandugu hii ni aibu sana kwetu............yaa ni haielezeki!
 
wuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiii ni kweli nimejaribu hata mimi hakuna kitu kaputi na zile safari zote za baba Riz na Ole Naiko kusuka wawekezaji, Kweli tunachunwa ngozi twaona hivi hivi, TIC u are the most useless centre in 2012, kazi yao kugawa raslimali zetu na kuwapa fursa zaidi wageni huku wakikatiwa chao Movenpick kwa mgongo wa mkutano
 
Back
Top Bottom