Mwanafunzi wa chuo saut akutwa amefariki maeneo gamba beach.

OMUSILANGA

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
384
227
Ndiyo Wakubwa ! Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT-Mwanza amekutwa amefariki maeneo ya gamba beach asubuhi hii. Baada ya kuangalia vitambulisho vyake imebainika ni mwanafunzi mwaka wa kwanza Faculty of Education.
 
Mkuu tafadhali tupe taarifa ni kwamba amekufa maji au ameliwa na mamba,tafadhali tunaomba taarifa za awali
 
jamaa mshikaj wetu..tulikuwa wote eduche 1...chanzo cha kifo chake bado utata...bwana ametoa na bwana ametwaa..jana la bwana lihimidiwe...amen
 
Ndiyo Wakubwa ! Mwanafunzi wa chuo kikuu cha SAUT-Mwanza amekutwa amefariki maeneo ya gamba beach asubuhi hii. Baada ya kuangalia vitambulisho vyake imebainika ni mwanafunzi mwaka wa kwanza Faculty of Education.

Wa kike au wa kiume?
Atakuwa alienda kula bata akanogewa Mungu akamchukua.
Poleni
 
jamaa mshikaj wetu..tulikuwa wote eduche 1...chanzo cha kifo chake bado utata...bwana ametoa na bwana ametwaa..jana la bwana lihimidiwe...amen

halafu mkipata GPA za 2.1 mnaanza kulalamika..jana la bwana ndo nini? ndo hivi hivi mnakurupuka kujibu maswali ya mitihani mkifeli mnaanza kulalama...hata hivyo niko pamoja nawe katika msiba huu na nawatakieni pole na subira katika wakati huu mgumu sana,,,pumzike mwalimu wangu....
 
RIP, lakni mbona wanafunzi wa sauti nasikia habari nyingi za vifo vya kujinyonga na kufia sehem za starehe nini tatizo?
 
halafu mkipata GPA za 2.1 mnaanza kulalamika..jana la bwana ndo nini? ndo hivi hivi mnakurupuka kujibu maswali ya mitihani mkifeli mnaanza kulalama...hata hivyo niko pamoja nawe katika msiba huu na nawatakieni pole na subira katika wakati huu mgumu sana,,,pumzike mwalimu wangu....

mbona unaleta lawama ambazo hazina msingi..kwani mimi nisikosee nimekuwa computer?? Halafu unapoleta masuala ya mitihani hapa nani kakuuliza..jiheshimu
 
Kitabu cha saut ni kigumu jamani...! Nadhan uko alienda kurefresh kidogo. Ulale pahala pema peponi Mwl.MDOE
 
Back
Top Bottom