Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Pamoja na kupandisha gharama za Internet ambazo ni kubwa sana kuliko uwezo wa mwananchi wa kawaida kwa vigezo ambavyo haviko wazi. Jana masikini mie nimejikamua jana nikaweka kifurushi cha 1GB...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu jamaa hakika ni machine ndani ya CCM kwani amedhihirisha hilo bungeni.Bila woga wowote amesimamia ukweli kwa kutaja waziwazi majina ya mawaziri ambao anawaita ni mchwa kwa kutafuna fedha za...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Breaking newz:Tundu Risu amkaanga pinda asema apigiwe kura ya kutokuwa na imani na serikari yake dhidi ya kila mbuge anaye amka kuchangia anasema serikari wezi wezi wezi akasema kama serikali...
3 Reactions
50 Replies
7K Views
Waraka kwa wabunge wote-- sasa ni wakati wa kung'ata siyo kubweka Salute kwa Wabunge wote ! Naomba niwakumbushe wabunge la JMT kuwa sasa ni wakati wa kung'ata na siyo kubweka kama mbwa koko,kwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa ujumla ukianzia ngazi ya juu hadi ngazi ya matawi ya Chadema jina la Mh Lowasa linawekwa ktk kapu la Watuhumiwa wa Ufisadi. Jee milya mpya anamwitaje EL kwa sasa? Msafi Fisadi?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa muda siku mbili mfululizo, spika wa bunge letu anasoma dua na kusimamia kipindi cha maswali na majibu tu baada ya hapo huondoka na kumwachia ndugai. Lakini cha kusikitisha kesho yake asbh...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najiuliza hatima ya huyu mtu kisiasa ndo kusema ubunge haumfai yeye anafaaa kuwa raisi tuuu na ya uraisi yakimshinda jee?? Ebu mshauri jmaa huyu great thinkers
0 Reactions
11 Replies
1K Views
huu ni mwaka wa nne sasa sipati majibu, najiuliza ya kwamba, macho na ubongo alonavyo mh. rais kikwete vinamsaidia nini, muda mrefu amekuwa kiongozi wa nchi hii lakn anauona uozo unatendeka ktk...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimesoma majina ya mawaziri sita ambao bunge linata wajiuzulu nimesikitika kutoona majina ya hawawaungwana ambao wamechangia kwa namna moja ama nyingine kufanikisha kile kitabu cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ubinafsi ndio unawafanya viongozi wa nchi kuiba kodi zetu,ukiangalia kwa makini viongozi wengi wamejenga nyumba nzuri wakati jirani yake analalia mbavu za mbwa,Je wanashindwa kuwasaidia kuwajengea...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Tarehe 11/4/2012 niliishiwa bundle yangu ya bomba 30.hivyo nikanunua 30,000 za muda wa maongezi kutoka kwenye line yangu ya vodacom kwenda kwenye line nyingine ya vodacom ambayo huwa naitumia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jamaa wanajitahidi sana jionee mwenyewe http://m.youtube.com/#/watch?desktop_uri=%2Fwatch%3Fv%3D0j-Nb9-opI0%26feature%3Dshare&feature=share&v=0j-Nb9-opI0&gl=US
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. sio kila kilichoandikwa ni kweli 2. tuwe na culture ya questioning (like a toddler who questions about everything), debate 3. tuwe good high risk takers
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Mie Huwa ninafanya Shughuli zangu mjini usiku nakurudi nyumbani kwangu mapema sana alfajiri , kwakuwa nikitoka kazini nataka niweke kitu tumboni na kisha nimpumzike kwa uchovu wakazi. kuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, Leo ifikapo saa nane usiku wa manane wananchi wa arumeru wameazimia kuvamia na kugawana eneo moja hapa Arusha maarufu "kama shamba la kwa singa" ni eneo lililo jirani na mji mdogo wa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi jaman kikwete kama nchi imemshinda si aseme maana wenzenu huku vijijin bei ya mafuta ya taa ni siri yetu
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Ndiyo wakuu ! Ule ujumbe unao sambazwa kwenye mitandao ya simu kwa njia ya message kuwa ifikapo saa 6 usiku ni hatari kufungua simu si kweli,ni uongo na upotoshaji mkuu. Wananchi wanapaswa...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Juu ya sms znazorushwa kuwa saa 5 ucku kutakua na mionzi watu wazime simu. Anasema cio kweli n haliwezi kutokea n watu wadharau waendlee kutumia simu.source:clouds fm breaking news
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za sa hizi wanajf, Nimeona ni bora niwashirikishe hili jambo ambalo limenitokea mimi binafsi. Siku ya J4 tarehe 17/04 around sa sita mchana nilipigiwa simu(0717183749) na mtu aliejiita...
10 Reactions
40 Replies
7K Views
Naombeni msaada wa kujua namna ntakavyoweza kupata cheti cha kuthibitisha kifo.Nina rafiki yangu ambaye alifiwa na mzazi wake(baba),na anahtaji kuomba mikopo (Loan board) na ametakiwa kuambatisha...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…