Milya mpya anamwitaje eduward lowasa wa zamani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milya mpya anamwitaje eduward lowasa wa zamani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by thatha, Apr 19, 2012.

 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kwa ujumla ukianzia ngazi ya juu hadi ngazi ya matawi ya Chadema jina la Mh Lowasa linawekwa ktk kapu la Watuhumiwa wa Ufisadi.
  Jee milya mpya anamwitaje EL kwa sasa?
  Msafi
  Fisadi?
   
 2. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Chadema ilisha m label - Mtuhumiwa wa ufisadi. Nategemea Millya ataendelea kumwita Fisadi.
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Atamwita baba mlezi aliemtoa kwenye umaskini
  OTIS
   
 4. t

  thatha JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  duhu, bado atamwita fisadi?
   
 5. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #5
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yetu macho na masikio
   
 6. d

  dizo Member

  #6
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusubiri tusikie kama atathubutu ataweza na atasonga mbele kumuita Baba yake fisadi :shut-mouth:
   
Loading...