Hiv kwa nin pro Lipumba asiende unyamwezini akakombea ubunge?

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Najiuliza hatima ya huyu mtu kisiasa
ndo kusema ubunge haumfai yeye anafaaa kuwa raisi tuuu na ya uraisi yakimshinda jee??
Ebu mshauri jmaa huyu great thinkers
 
Najiuliza hatima ya huyu mtu kisiasa
ndo kusema ubunge haumfai yeye anafaaa kuwa raisi tuuu na ya uraisi yakimshinda jee??
Ebu mshauri jmaa huyu great thinkers

Hawezi kujenga hoja, jinsi anavyoongea! ni kama komedi, anafaa kuziba pengo la kanumba.
 
Msimchagulie kugombea ubunge, kugombea ni suala la kimkakati na maamuzi binafsi, pili ndo wananchi na wapambe kumpa ushauri wa usukani. Kama anaona hataweza kimshiko hata mimi sioni haja ya kupoteza muda ukizingatia akina Maalim Sharif walishaula kwao. Kachoka, mwacheni apulize vuvuzela na ifikapo wakati wa kampeni apate perdiem zake aishi.
 
We naona unaleta utani,Kanumba anaingiaje hapa? Acha ujinga ujinga,kama huna la maana bora usi post chochote.
 
Kwani mmeambiwa huko unyamwezi kuna shida ya wabunge? Au yeye bila ya ubunge hawezi kuishi? Wanaume mnatabia za kike?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom