Hamna kinachoshindikana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hamna kinachoshindikana

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by emkey, Apr 20, 2012.

 1. e

  emkey JF-Expert Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  huu ni mwaka wa nne sasa sipati majibu, najiuliza ya kwamba, macho na ubongo alonavyo mh. rais kikwete vinamsaidia nini, muda mrefu amekuwa kiongozi wa nchi hii lakn anauona uozo unatendeka ktk serikali yake lakn yy wala hachukui hatua yoyote ya kuwawajibisha watendaji wake, mi nadhani anakula nao. kama angekuwa hali nao, basi angewatoa madarakani, lakn pia kama hali nao basi kuna kuchaguana kwa elements za undugu, uswahiba na ushemeji, lakn hata kama ana mahusiano ya mojawapo ya sababu nilizotaja hapo juu, huwa na mwisho wake ambapo ilibidi awatimue ili alinde heshma yake kama rais. kwa jinsg mambo yanavyoendeshwa ktk nchi ambayo wengi wanaita shamba la bibi, sitashangaa nikisikia yanayotokea syria yanahamia tanzania. tunajua nn kimeifanya kenya iwe na serikali yenye heshima.

  nawasilisha.
   
 2. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sio kwamba anauona, ameubariki na kuuidhinisha. Tulifanya makosa makubwa kumchagua JK.
   
 3. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #3
  Apr 20, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  naamini kwa asilimia 100% kikwete anahusika na huo wizi

  unaotajwa kila leo, haiwezekani anyamaze muda wote watu

  wanalalamika kila leo yeye kimya anahusika na inawezekana

  anawaambia waibe wawezavyo kwani mwisho wao wanauona
   
Loading...