Waziri kawambwa aondoke na sakata la atcl;aggrey mwanri aondoke na ubadhirifu wa kila sehemu

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,428
21,255
Ndugu zangu
nimesoma majina ya mawaziri sita ambao bunge linata wajiuzulu
nimesikitika kutoona majina ya hawawaungwana ambao wamechangia kwa namna moja ama nyingine
kufanikisha kile kitabu cha ubadhirifu kujaa sura kadhaa na kutoa sura mpya kwa wabunge wetu
wa tanzania kulaani bila kuangalia itikadi ya vyama

naomba nianze na mh shukuru kawambwa

waziri huyu ndie aliechangia kuifikisha atcl hapo ilipo...atake asitake mntawapeleka
sijui mataka sijui nani mahakamani huyu ndie papa halisi ..anaetakiwa kuondolewa na alieshiriki
kwenye mkataba ule mchafu katibu omar chambo ..huyu ni sumu nyingine iliokaa kimya lakini
wabunge tunangangana na menejiment pekee..kumbukeni hao awakuwa na nguvu kama sio kupewa
meno na shukuru kawambwa akiwa waziri..binafsi nasikia kichefu chefu kama sio muharo nikiona
mnataja wahalifu wa atcl bila kumtaja shukuru kawambwa na omar chambo...kumbukeni nundu ana madhambi yake lakini ya atcl ameyakuta ..so tunaitaji kuondoa chanzo halisi akiwemo yule waziri wa shekeli mh mkullo ...inawezekanaje ndege ikakodishwa oct 5,2007 alafu dhamana ikatolewa 2008 apr,,watanzania amkeni tuache kujifunika mashuka ya kijani na njano saa ya kuyavua na kuingia bara barani hawa watu wametufanya kama mbwa na paka ambao atujui tutakula wapi tutalala wapi kila
tuamkapo........

aggrey mwanri:
Huyu ni msanii mwingine kwenye bunge letu ambae niliwahi i kulaani tabia ya jk kuchagua wanajeshi wenzake kwa minajili ya kulindana na mwisho wa siku watamtia aibu...walioona majibu ya huyu bwana jana mtaamini ni msanii mtupu na hana jipya..ninao ushahidi aliwahi kuonyeshwa kwenye tv na kutangaza mkandarasi wa malisho ya ngombe kule moro abomoe aajenge upya kwa garama yake ..yale majengo nimepita si wiki 3 yapo vile vile na usanii wake

alipita sumbawanga akazuia ujengwaji was shule kwa kujenga majengo yaliochakachuliwa akaapa akifika dara anaitaji kuona picha ya majengo hayo yakiwa chini na mkandarasi akiwa ameanza kujenga upya ...nasema ni usanii mlio sumbwanga mnaweza kutuambia kilichofanyika ni ujinga mtupu....

Sasa basi na fikiri wakati muafaka na hawa mawaziri nyie wabunge kuwaongeza kwenye list yenu...mtaonekana wajinga sana kama m tangangana na sakata la atcl na kumuacha mh shukuru kawambwa..mtanganga na wizi na ubadhirifu bila kumwondoa aggrey mwanri ..pengine rais ameogopa kuwaondoa basi wakati wenu kutumia nguvu kumuondoa bosi wao na wao watakuja nyuma

bwana awape nguvu na neema ya mabadiliko ya kweli kama mlivyoendesha vikao viwili mpaka jana basi miskae kimya kuendelea na vikao taharishi kama hivyo kwa vinavyofwata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom