Spika anakwepa hoja nzito bungeni

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
kwa muda siku mbili mfululizo, spika wa bunge letu anasoma dua na kusimamia kipindi cha maswali na majibu tu baada ya hapo huondoka na kumwachia ndugai. Lakini cha kusikitisha kesho yake asbh anaongoza dua.anachokwepa ni nini?
 
Ni mgawanyo wa kazi tu jombaa
lakini ni vyema akiongoza Ndugai.
Sina imani kabisa na huyu mama.
Ndio maana hata sitta alikuwa anamwambia ishu za msingi zisijadiliwe mpaka arudi
OTIS
 
kwa muda siku mbili mfululizo, spika wa bunge letu anasoma dua na kusimamia kipindi cha maswali na majibu tu baada ya hapo huondoka na kumwachia ndugai. Lakini cha kusikitisha kesho yake asbh anaongoza dua.anachokwepa ni nini?

Jamani mumesahau kuwa yuko Shule huyo kuliendesha Bunge inakupasa kujua mambo mengi pamoja na sheria sasa anapigwa msasa

Back
Top Bottom