Msaada namna ya kupata "Death Certificate"?

Msaada namna ya kupata "Death Certificate"?

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
2,134
Reaction score
664
Naombeni msaada wa kujua namna ntakavyoweza kupata cheti cha kuthibitisha kifo.Nina rafiki yangu ambaye alifiwa na mzazi wake(baba),na anahtaji kuomba mikopo (Loan board) na ametakiwa kuambatisha cheti hicho kuthibitisha kuwa anaisha na mzazi mmoja(mama pekee).

Je,taratibu za kupata ni zipi? Ikiwemo viambatanisho vinavyohtajika.

Natanguliza shukrani!
 
Muone msajiri wa Vifo na Vizazi. Lakini ni mara tu baada ya kifo.
 
Unatakiwa kuwa na cheti cha mazishi toka hospitali alikofia. Then, unaenda RITA kuna fomu unajaza fasta na baada ya wiki unapata cheti. Ila waweza kupata mapema zaidi kama kuna mtu unamfahamu pale RITA.
 
Asante bro!
 
Back
Top Bottom